Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunaanua matanga ya Europa lini gooners wenzangu??? Hahahahaha
Hii timu kweli ugonjwa wa moyo hadi nawaonea huruma. Mnatia huruma hahahahaha.
Tuanue matanga sasa gooners wenzangu maana wale olympiacos walitufanya kitu mbaya jamani.
Ila nimesikia Europa wameunda time huru mechi unaweza kurudiwa tena tunashinda hahahahaha.
Kazi mnayo msimu huu naskia mpo karibu na ile relegation.
Yaani Top class striker Aubameyang tunamvizia atawaacha kama Robin RVP msimu ule maana na yeye Juzi Europa amejua kwamba hajui akabaki anaduwaa.

#GGMU
Kunywa maji kwanza hangover ya mataputapu uliyokunywa ikuishe
 
FB_IMG_1583005313305.jpg

Played 38
Won 26
Drawn 12
Lost exactly 0
 
Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma Bolton

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenger alibeba hilo kombe kipindi mpira unachezwa na wanaume, sio hawa kina Marioo Tammy Abraham.
 
Ahaaa kaka tafadhali tuombe radhi ina maana nyie Chelsea mlikuwa na mabinti,mkashindwa kupata UNBEATEN record au

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ule ulikuwa ni zama za kubebwa za Arsenal kama zilivyokuja za Man u kubebwa na akina Howard Web na sasa tunaona Liverpool ikibebwa na VAR, sisi Chelsea atukuwahi ata Siku kuonja ladha ya kubebwa na marefa wala teknolojia yeyote ile ..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenger alibeba hilo kombe kipindi mpira unachezwa na wanaume, sio hawa kina Marioo Tammy Abraham.
Wakati uo mpira hakuna cha offside akuna cha nini ..ivyo walikuwa wanacheza bila mwelekeo wowote angalia mpira wa sasa ..ndo maana timu kama Arsenal mifumo ya uendeshaji ilivyobalika zikaanza kupoteana ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom