Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Leo kwa kweli Arsenal haijacheza vizuri na labda wajaribu kutafuta la kusawazisha na la ushindi.
Leo tumepiga game hovyooooo kinoma.hakuna kitu chochote sio pasi wala nini .
...dah, hiyo nyimbo mbaya sana bro. Stoke wana yule mrusha mipira wao utadhani Yusuf Ismail Bana,...anaitwa DELAP. Nuksi kama nini yule.
Usiogope sana mipira ya Delap maana naona mna kipa mrefu sana sasa hivi, huyo anaitwa sijui Shenzi au Schengen (spelling)!!