Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heshima kwako Wacha1

Mkuu habari za mida tangu upate kichapo sikuoni umejificha wapi ohoo anyway hayo yamekwisha tugange yajayo sijui kama utajisiaje kwasababu habari nitakazokupa si nzuri ni sawa na kukupa habari za msiba wa mtu wako wa karibu.Mkuu watoto wa Mzee Wenger watakutana na watandaza mpira wa ukweli Barcelona wenye mafanikio ya kutisha kama uamini muulize msema hovyo Jose atakwambia mwisho wenu ligi ya mabingwa ulaya umetangazwa rasmi leo.

Nawashauri Arsenal wekeni nguvu zenu Carling Cup,ubingwa wa Uk na ubingwa wa ulaya sahauni kabisa.
 
Champions League draw
Roma v Shakhtar Donetsk
AC Milan v Tottenham Hotspur
Valencia v Schalke
Inter Milan v Bayern Munich
Lyon v Real Madrid
Arsenal v Barcelona
Marseille v Manchester United
FC Copenhagen v Chelsea
 
Heshima kwako Wacha1

Mkuu habari za mida tangu upate kichapo sikuoni umejificha wapi ohoo anyway hayo yamekwisha tugange yajayo sijui kama utajisiaje kwasababu habari nitakazokupa si nzuri ni sawa na kukupa habari za msiba wa mtu wako wa karibu.Mkuu watoto wa Mzee Wenger watakutana na watandaza mpira wa ukweli Barcelona wenye mafanikio ya kutisha kama uamini muulize msema hovyo Jose atakwambia mwisho wenu ligi ya mabingwa ulaya umetangazwa rasmi leo.

Nawashauri Arsenal wekeni nguvu zenu Carling Cup,ubingwa wa Uk na ubingwa wa ulaya sahauni kabisa.


Kumbe hata hujui unaogopa nini? Mbona Arsene Wenger alisema tayari last week kwamba tunawahitaji hawa paka tuwafunze adabu hata wachezaji walisema au hufahamu? [URL="http://[URL="https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-13.html"]Follow the bee[/URL]
 
Mwanangu hapa unajidanganya mwenyewe na Wenger wako, kwa Arsenal hii tunayoijua au Arsenal nyingine? sincerely Barcelona are too big for Arsenal.

On your dreams mate. If you fear them thats up to you, the match is 90 minutes (180min) and anything can happen in soccer. We have quality players to do the job thats why even Barca themselves are crying to take Cesc .... where does he play ..... in the big club not a mediocre one like yours.

If you want to win big prize you must beat the best ... and we gonna just do that.
 
Heshima Wacha1,

Mkuu inaelekea wewe ni komando wa Yanga au Simba hawa jamaa wana sifa moja kubwa kujipa moyo wa matumaini kwa mambo wasiyaweza


Wacha ngebe wewe Arsenal vs Barca itaangaliwa na mamillion ya watu ulimwenguni kote kumbe hata hujui unaongelea nini, last time ulisema uko Arusha then Dodoma hivi unafikiria ni chandimu hiki ... ..hii ni Champion League bro! Enjoy the match .... ..... .... hata ukiangalia hivi sasa top story ndio hiyo worldwide hizo ndio big teams hawongelei mediocre timu ya kwako? LOL khe khe kheeeeeeeeeeee
 
article-1339454-09075551000005DC-1000_634x420.jpg


Unstoppable: Barcelona playmaker Messi scores his fourth goal of the game against Arsenal last season


 
Thats history .... .... .... waswahili walisema tugange yajayo.
 
Wenger inabidi afanye usajili wa maana kama anataka kusonga mbele lakini kwa timu hii ya sasa hivi safair yetu mwaka huu fupi kwenye champions league.Zaidi ya hapo nimejiandaa zaidi kwa maajabu ya musa kuliko kutafuta presha zisiokuwa na maana.


Tumeyataka wenyewe kwa kutaka ku-rotate timu kabla hatuja qualify.
 
Acha uoga kwani Barca hawAFUNGINGI hebu mpigie David Trezeguet akupe siri ya Hercules kumfunga Barca 2-0

sio uoga ni ukweli baada kuangalia form ya barcelona na form ya timu yangu.Huwa sipendi kujidanganya mkuu na ndio maana nimesema niko tayari pia kwa maajabu yoyote.Kikosi hiki cha sasa kinachochanganyikiwa wakiwa wanaongoza goli mbili? sasa itakuwaje wakiwa chini goli 2?

Jipe moyo mkuu,mie huwa sipendi pressure za kujitakia nishajiandaa kwa matokeo nguvu zote napeleka premier league na fa cup champions league mwakani tena mungu akipenda.
 
wakuu ila tunahali mbaya but najipa moyo TUTASHINDA TUU!
 
Tutasajili mwakani vifaa vipya vyakuikabili Barca na kumalizia Ligi.Hii ni changamoto imekuja kwetu.
 
.................afu, kuna hii!
 

Attachments

  • AssnOOls.jpg
    AssnOOls.jpg
    12.5 KB · Views: 19
Afu bado tu mna :whoo::whoo: nyie watu :redfaces::redfaces:?
 
Back
Top Bottom