Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili deal linaweza kuwa baadae
Screenshot_20191227-104326_Twitter.jpeg



Sent from my SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
MECHI YA KWANZA IMEISHA DRAW , GOOD START KWA MIKEL ARTETA

Inaonyesha wazi wachezaji wanaanza kushika maelekezo ya mwalimu hii wataielewa wale ambao walikua wanaangalia mpira kwa jicho la saba ,

Juzi nilileta video hapa mbili moja Arteta akiwa mazoezini na wachezaji wa Arsenal ,na nyingine ni ya pep akiwa baryen anavyofundisha mpira .,zile video zinafanana kila kitu kuhusu mbinu na kumiliki mpira .

AINA YA MFUMO, MNAJUA KWANINI TUMEUTAWALA SANA MCHEZO. JANA ..!?

Arteta alihitaji zaidi kucheza na alionyesha wazi hakutaka kuwapa Bournemouth mwanya wa kuutawala mchezo, Niliona uwepo wa Maitland Niles pale kati alikua anaonekana kama kiungo pale timu iliposhambulia na hii ilimsaidia Xhaka kusogea juu kumrahisishia kazi Mesut Ozil

Kuna baadhi ya watu wanasema tatizo la timu halikuwa la Unai Emery, binafsi nasema niyeye katufikisha hapa kwa sababu alishindwa kusajili wachezaji wakufikia malengo au timu ya ushindi

Alituaminisha uongo kupitia hawa wachezaji aliowaamini, Alituaminisha uongo kuwa Mateo Gunduz anastahili kuanza kikosi cha kwanza mbele ya LT11 , pia LT11 sio DM sababu ni mfupi , na Akamlazimisha acheze Box to Box MD ,

leo Arteta anawalazimisha kufanya mambo ambayo hatukuyategemea .,na Gunduz itabid asubiri kwenye mbao , hakika naweza kusema Arteta ni chaguo sahihi .



Kocha alipewa fedha za usajili akasajili wachezaji kama hawa sasa kwanini asilaumiwe bado?EMERY NDIYE KATUFIKISHA HAPA TULIPO ....ilifikia hatua timu haiwezi kupiga pass hata 10 .

NANI ALIMUONA OZIL YULE NINAYEMTAJAGA..!?

Kama hukuona zile Short pass, long pass pamoja na turn pass basi utakua mchawi kwenye Jamii ya wapenda soka maridhawa alinyimwa misifa na kale katoto Nelson pamoja na mwenzie Lacazette .



NAIONA ARSENAL IMARA ENDAPO ARTETA ATAPEWA PESA , Arteta is gonna dominate this generation after 2 years

Mpaka dakika ya 52 tumeutawala mchezo kwa Ball Possession tuna 74 kwa 26 kusema ukweli hatukuyaona haya kwa Unai Emery

Leo tumepiga jumla ya Pasi 872 this is the Guardiola effects aminini nawaambia Arteta amesepa na vitini vya Guardiola

Tumepiga jumla ya mashuti 17 na mara ya mwisho kufanya hivi kocha alikua Arsene Wenger

ARTETA IS GOING TO BE OUR HERO, APEWE PESA

Next to Chelsea, asituchukulie poa tunamdai point zetu tatu maana Belle boy na mwenzie Ceballos watakuepo

I prefer arteta Atakuja na 4-3-3 , aweke kati ceballos lt11 xhaka ,

Kwa mpira wa Jana Ni dhahiri pumba zilijitenga , Kukosekana kwa LB natural maana LB zote ni injury , ilitukost maana saka walishindwa kupiga V pass au kross bora.,

Pepe anafaa kuanza ., Lacazette bado hajafanya tunachohitaji , ndio maana sishangai Martinel akija kumuweka bench mazima .

NOTE: SITOMLAUMU ARTETA MSIMU HUU, NITAMLAUMU MSIMU UJAO .

Ukiangalia leo Luiz na yule babu wa kigiriki kulikua na utulivu hii ilisaidiwa na uwepo wa Torreira, Xhaka pamoja na Niles aliekuwa akiingia ndani kuwapa nguvu ya upepo wa kisulisuli



VIVA ARSENAL , VIVA ARTETA
FB_IMG_1577432021160.jpeg
 
#AFC interested in taking Lille duo in JAN, MID Soumaré & DEF Magalhaes. #AFC also want Koulibaly from Napoli but it's unlikely to offer any deal if the club doesn't sell one of their CB's. Upamecano is still a target for #AFC but #Leipzig unwilling sell in JAN.

(@WeberESPN)
 
Arteta:

“If you keep the ball then the opposition will get tense and want to get aggressive. This will force them to break out of their positions and this is when you expose the space. Patience — that’s the difference between a good player and a top player.”
IMG_20191223_173255.jpeg
 
Mikel Arteta's post-match press conference: "I'm very pleased with some of the things I've seen, in terms of attitude, character, the passion we showed, and the fight and spirit the team showed. It was spot on. Probably better than I expected over 90 minutes." [PA] #AFC #Arsenal
IMG_20191227_132541.jpeg
 
Thierry Henry: "What I’ve seen [yesterday] is what I’ve seen for a long time with #Arsenal. I don’t think they played well but Aubameyang scored. I’ve seen that so many times. Lacazette should have won it with a good chance but it’s difficult to judge that team right now"
IMG_20191227_142654.jpeg



Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Thierry Henry: "What I’ve seen [yesterday] is what I’ve seen for a long time with #Arsenal. I don’t think they played well but Aubameyang scored. I’ve seen that so many times. Lacazette should have won it with a good chance but it’s difficult to judge that team right now" View attachment 1304698


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Henry Bwan, always huwa anacritise, enzi za enzi alikuwa anachamba mpqka Wenger akakasilika.. Sasa naona wivu umamsumbua tu! Yaani kweli qnajifanya hajaona tofauti yoyote kati ya Arsenal ya Emery na hii ya jana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa marefa wa EPL wabadilike sasa , hizi faulo hatari anazochezewa pepe ,inatakiwa wawe wanatoa Red card ,
IMG_20191227_151037.jpeg
IMG_20191227_151033.jpeg
 
Henry Bwan, always huwa anacritise, enzi za enzi alikuwa anachamba mpqka Wenger akakasilika.. Sasa naona wivu umamsumbua tu! Yaani kweli qnajifanya hajaona tofauti yoyote kati ya Arsenal ya Emery na hii ya jana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anapewa Monaco alijifanya anaenda na tactic za Pep ,cha ajabu ilikuwa kituko

Walitaka timu wapewe wao ,

Sasa wamuache Arteta afanye kazi huyu ni mtu sahihi ,
 
Wakati anapewa Monaco alijifanya anaenda na tactic za Pep ,cha ajabu ilikuwa kituko

Walitaka timu wapewe wao ,

Sasa wamuache Arteta afanye kazi huyu ni mtu sahihi ,
Yaani kajaa wivu hatari huku yeye hata kupqnga kikosi tu hajui!.. Amuache mwenzake afanye kazi!.. Huyu kwa kuwa hajapewa kazi hiyo atakuwa anaombea tufungwe ili aseme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Henry Bwan, always huwa anacritise, enzi za enzi alikuwa anachamba mpqka Wenger akakasilika.. Sasa naona wivu umamsumbua tu! Yaani kweli qnajifanya hajaona tofauti yoyote kati ya Arsenal ya Emery na hii ya jana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaumia kuona Arteta anathaminika wakati hakuwepo kwenye The Invincibles, yeye Monaco ilikuaje atuambie na hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"I don't care how well Arsenal played today. I don't care about better passes, higher possession and signs of improvement. My biggest concern is why was Mikel Arteta not wearing a suit for his first game in charge. You've got to ask whether he's even serious about his job."
IMG_20191227_171103.jpeg



Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Hapa chini ni picha mbili za tactic tofauti


PICHA NAMBA 1 NI MFUMO WA EMERY TIMU INAPOSHAMBULIA

PICHA NAMBA 2 NI MFUMO WA ARTETA JANA TIMU INAPOSHAMBULIA


IMG_20191227_172931.jpeg
 
CHINI YA EMERY ALIKUWA HAFIKISHI HATA PASS 25 PER GAME

HAKIKA YULE MUHINDI ,ALITUMWA KUIPOTEZA TIMU

Lucas Torreira vs. Bournemouth:

100% aerial duels won
94 total touches
88% passing accuracy
77 passes attempted
11 ball recoveries (five more than any other player)
2 tackles
2 interceptions
1 block
1 chance created
1 shot
FB_IMG_1577458201012.jpeg
 
Back
Top Bottom