Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kocha ni ArtetaHawa viongozi hata hawaeleweki....yaani ni kama wanahitaji makocha wote.... Kwa makocha wengine naona ni kamali kama ya Emery tu...
Kocha ni ArtetaHawa viongozi hata hawaeleweki....yaani ni kama wanahitaji makocha wote.... Kwa makocha wengine naona ni kamali kama ya Emery tu...
100%Mzee timu yetu haina hiyo shida. Now usinielewe vibaya ukasema nimemaanisha we are invincible, hapana, ila hatuna ubovu wa mpaka kocha akimbie timu.
Kila siku nasema. Mchawi wa Arsenal ni morali kua chini
Kama kule mbele na hapo kati kati kikosi hatakibadilisha
Mgumu city tu hapo ,
Kisa nini?Siku hiyo usije kukimbia jukwaa
Uliyemsahau ni Dino Mavrapanos jamaa yupo poa ila record yake ya majeruhi sio nzuri,Tuna CB Holding, Sokratis, Luiz, Chambers na dogo nimemsahau. CM tuna Ceballos, Niles, Ozil (Anaweza cheza kama CM au AM) Willock, Xhaka na Torreira (natural DMF ila kwenye 4 3 3 wanakua CMF), Guendouz, Smith Rowe, Willock n.k. nahisi AMF
Uza kwanza Mustafi ili aje beki mwingine mkomavu ili aje kuwainua madogo kina Dino,Callum,Rob na SalibaLuiz na sokratis hawa siowakuwaamini , tunahitaji beki kama upemacano ,
Strength kwenye midfield inahitajika bado japokuwa tuna xhaka lt11 ceba na gunduz ,
Mbele hakuna tatizo, kama Auba ataondoka January , Dili la jovic itakuwa poa
Mustaf aligoma kuondoka naona saizi itabidi aondoke kwa lazimaUza kwanza Mustafi ili aje beki mwingine mkomavu ili aje kuwainua madogo kina Dino,Callum,Rob na Saliba
Hapa kwenye CB tuna damu changa nyingi. Na nilimsahau Saliba.Uliyemsahau ni Dino Mavrapanos jamaa yupo poa ila record yake ya majeruhi sio nzuri,
Pia kumbuka next season tutakuwa na Willy Saliba ....ni vema endapo itatakiwa aongezwe CB lakini ni vizuri wapunguzwe waliopo pia....
Ukiangalia Chambers,Holding,Dino na Saliba hawa wote ni promising wanaweza kukupa kitu baadae....
Lakini kuna Sokratic,Mustafi na Luiz ambao naona bora wakaoffload mmoja kati yao ili kuleta ingizo jipya....
Nampango uliopo mustafi , luiz ,sokratis mmoja wapo watamuondoa , luiz atabaki kama kiraka kumalizia mkataba wakeUliyemsahau ni Dino Mavrapanos jamaa yupo poa ila record yake ya majeruhi sio nzuri,
Pia kumbuka next season tutakuwa na Willy Saliba ....ni vema endapo itatakiwa aongezwe CB lakini ni vizuri wapunguzwe waliopo pia....
Ukiangalia Chambers,Holding,Dino na Saliba hawa wote ni promising wanaweza kukupa kitu baadae....
Lakini kuna Sokratic,Mustafi na Luiz ambao naona bora wakaoffload mmoja kati yao ili kuleta ingizo jipya....
Nyie hata siwawazii , mpaka tukutane na nyie timu tayari imesha gain momentum ya kutosha ,Siku hiyo usije kukimbia jukwaa
Moja ya kamari ambayo Arsenal watakua wameicheza ni kumpa Arteta kazi ya ukocha.Kocha ni Arteta
#GABRIEL MARTINELL KIPAJI KISICHO ACHA SHAKAHlila jamaa ana gundu huyu sijawahi onaNilikuwa nataka nikalale sasa kwakuwa wewe umecoment hapa aiseeh hii game tunashinda maana wewe jamaa kila unalolitakaga halijawahi kuwa,
Hahahahahaha
Coyg





Na wewe upo kwenye timu maumivu kama Mimi?Na kweli. Akishapost huyo hamna jambo tena.
Oi mkuu, fanya kunitumia na mimi hizi ngumu kumeza tumfirisi muhindi, ni noma aisee.Betting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa,nikaenda katika uzi wa Arsenal nikakuta ARV kacomment,narudi Parimatch nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu ukizingatia jamaa ana gundu filauni anasubiri.... nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumezaView attachment 1287529



Atapewa bajeti kubwa zaidi ya hiyo na kabla hajasaini inamaana lazima ataomba mpunga mkubwa wa kusajili, kocha mkubwa Kama Yule hawezi kuingia sehemu ambayo ina mapungufu mengi bila kuomba fungu kubwa la usajilianceloti sidhani ataweza kukubalii, kupokea timu ambayo ina mapungufu kweny middle na defense, alafu ana bajeti ya 40m!!
aise hapo pagumu sana
kwanini unasema kocha ni Arteta mkuu, amefanya nini cha maana?Kocha ni Arteta


