Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
This club is cursed
Na ndio maana tunaweza kuivumilia,Tatizo siyo freddie, timu imeharibiwa na unai kaacha wachezaji wazuri wameondoka kasajili magarasa kaaribu formation haya ndiyo matokeo sasa mpaka ikae sawa kazi ipo
Morali ipo chini sana.Wachezaji hawajitumi
[emoji2]Una Ozil mvivu kama Martial
Una Pepe mzito kama gunia unashindaje sasa?
Mtapata tabu sanaaa
Kwani Wenger aliiachaje? Na ni kwa nn alitimuliwa?Tatizo siyo freddie, timu imeharibiwa na unai kaacha wachezaji wazuri wameondoka kasajili magarasa kaaribu formation haya ndiyo matokeo sasa mpaka ikae sawa kazi ipo
Kabisa mkuuAiseeeeh
Tutashuka nayo na tutapanda nayo
Wachezaji gani wazuri walioachwa wakaondoka mkuu???Tatizo siyo freddie, timu imeharibiwa na unai kaacha wachezaji wazuri wameondoka kasajili magarasa kaaribu formation haya ndiyo matokeo sasa mpaka ikae sawa kazi ipo
Na kweli. Akishapost huyo hamna jambo tena.Nilikuwa nataka nikalale sasa kwakuwa wewe umecoment hapa aiseeh hii game tunashinda maana wewe jamaa kila unalolitakaga halijawahi kuwa,
Hahahahahaha
Coyg
Ungojege hata mechi iishe mzee wa gundu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pigaaaaaa Ogbonaaaaaaaa
Nilikuwa nataka nikalale sasa kwakuwa wewe umecoment hapa aiseeh hii game tunashinda maana wewe jamaa kila unalolitakaga halijawahi kuwa,
Hahahahahaha
Coyg
we jamaa nenda ukasifishe nyotaa yakoPigaaaaaa Ogbonaaaaaaaa
Babu kaachwa ramsey hata micktarian anafanya vizuri italyWachezaji gani wazuri walioachwa wakaondoka mkuu???