Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku nyingine wewe ukiona una stress basi pitia humu yaani ukiona ARV kacomment hapa basi wewe nunua Energy drink yako nenda hata banda umiza kacheck game ni lazma tushinde mkuu
Dah sikucheki gemu maana nilikuwa na stress na nilijua hawa washika mitutu wangeniongezea stress..... Kama mambo yalikuwa hivi safi sana....
 
#Ancelotti is seriously considering to leave Napoli tonight after match against Genk.

Gattuso would be ready to become new Napoli manager.

Carlo has always been appreciated by #Arsenal board... but he’ll take a decision about his future with Napoli only tonight after the game.
 
Betting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa,nikaenda katika uzi wa Arsenal nikakuta ARV kacomment,narudi Parimatch nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu ukizingatia jamaa ana gundu filauni anasubiri.... nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumeza
tapatalk_1575929604215.jpeg
 
Betting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa,nikaenda katika uzi wa Arsenal nikakuta ARV kacomment,narudi Parimatch nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu ukizingatia jamaa ana gundu filauni anasubiri.... nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumezaView attachment 1287529
Hongera sana mkuu

Huyu ARV ana gundu sana , ameshanipatia hela kama Mara 2 hivi
 
Arteta anakaribia kutua Arsenal

Ila maamuzi ya mwisho bado hayajafanyika ,

Ancelot Leo anaweza kutimuliwa ,hivo inaweza ikafanyika U turn
IMG_20191210_114930_226.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-12-10-11-46-01.jpeg
    Screenshot_2019-12-10-11-46-01.jpeg
    61.3 KB · Views: 5
Betting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa,nikaenda katika uzi wa Arsenal nikakuta ARV kacomment,narudi Parimatch nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu ukizingatia jamaa ana gundu filauni anasubiri.... nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumezaView attachment 1287529
Mkuu umelamba hiyo mipunga hapo...?
 
Siwez kuamini unachosema

Madrid wametumia 4-3-3 kipind cha BBC benzema hajawahi kutokea kushoto,

Kipind cha zidane pia , wametumia sana 4-4-2

Laca huwez kumchezesha winger aka offer inavyotakiwa labda yawe Yale Yale ya emery kumchezesha Toreira namba 10 ,

Sio Kila CF anacheza LW & RW , mfano Lewandowisk, Huwez kumchezesha winger ,au Giroud , lkn Mtu kama Sanchez alikuwa anacheza LW vzr na CF kiasi .
Hahaha kwani 4 3 3 ikiwa inatumiwa unadhani wale wa pembeni wanaitwaje? Liverpool si inatumia 4 3 3? Sawasawa na Barcelona? Unajua kama Messi na Salah waligombea tuzo ya LW?

Kwahiyo Benzema enzi za Ronaldo alikua ni RW, Bale LW. 4 4 2 imemfanya Benzema awe CF na Bale SS.
 
Hebu kafanye utafiti kama unakuwa umesahau

Benzema hachez RW , labda uniambie alicheza lini

Nakupa lineups ya BBC

pia hata walipotumia 4-4-2 kwa zidane alicheza pacha na Cr7
 
Hujaangalia vizuri kikosi labda,rudi tena sofascore
Huyo jamaa yuko sahihi mana nmetoka kuangalia kikosi kilichoanza jana kwenye official ac ya arsenal, ni kweli Kola hakuepo kwenye sub.
_20191210_120546.JPG
 
Hahaha kwani 4 3 3 ikiwa inatumiwa unadhani wale wa pembeni wanaitwaje? Liverpool si inatumia 4 3 3? Sawasawa na Barcelona? Unajua kama Messi na Salah waligombea tuzo ya LW?

Kwahiyo Benzema enzi za Ronaldo alikua ni RW, Bale LW. 4 4 2 imemfanya Benzema awe CF na Bale SS.
Benzema hajawahi kuwa RW mkuu,

Hata enzi za 4-4-2 bado alicheza kama pacha na CR7 ,
images (4).jpeg
 
Hebu kafanye utafiti kama unakuwa umesahau

Benzema hachez RW , labda uniambie alicheza lini

Nakupa lineups ya BBC

pia hata walipotumia 4-4-2 kwa zidane alicheza pacha na Cr7
Dah mzee kwahiyo wakati Ronaldo anakaa kati yeye anatokea pembeni alikua ni CF hivyo hivyo?

Sifa ya CF ni kwamba. Timu ikiwa inapigowa kona CF anakua sambamba na CB wawili wanaojaribu kuzuia counter. Kwahiyo unataka kusema muda kama huo Ronaldo alikua anarudi kukaba?
 
Labda unikumbushe , Lini benzema alicheza kama RW ,

Lineup za Madrid enzi za BBC , benzema alikuwa anacheza CF ,

Naongea kitu ambacho nilikuwa nakiona ,

Japo baadae kwenye 4-4-2 ,cr7 alicheza kati na benzema

images (2).jpeg
 
Mrcelino held talks with Arsenal this week. Sources close to the 54 year old believe that he is not optimistic about his chances. [@ESPNFC]
 
Back
Top Bottom