Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bellerin just gone injured himself, maitland miles is going to start as a full back right
 
Una Ozil mvivu kama Martial
Una Pepe mzito kama gunia unashindaje sasa?
Mtapata tabu sanaaa
 
Acha nikalale kesho niwahi kuamka kufanya kazi ya Kujenga Taifa letu kuliko kupoteza muda kuangalia timu ya mashoga kama hii na natabiri natabiri Freddie kama ataendelea kubaki ataishusha Arsenal kwenda championship kuna timu Brazil baada ya miaka 98 imeshuka Daraja why not Arsenal?nawatakia usiku Mwema
 
Aiseeeeh
Tutashuka nayo na tutapanda nayo
 
Wachezaji wapo soft soft sana, timu pinzani wameishatusoma, this is not arsenal, it is impersonafication
 
Acha nikalale kesho niwahi kuamka kufanya kazi ya Kujenga Taifa letu kuliko kupoteza muda kuangalia timu ya mashoga kama hii na natabiri natabiri Freddie kama ataendelea kubaki ataishusha Arsenal kwenda championship kuna timu Brazil baada ya miaka 98 imeshuka Daraja why not Arsenal?nawatakia usiku Mwema
Tatizo siyo freddie, timu imeharibiwa na unai kaacha wachezaji wazuri wameondoka kasajili magarasa kaaribu formation haya ndiyo matokeo sasa mpaka ikae sawa kazi ipo
 
Back
Top Bottom