Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahahaaaaaa....Aroon
Hapo Naona Arteta akiungana na Freddie na per

Wachezaji wanampenda sana Freddie

IMG_20191210_021406.jpeg
 
Dogo nampenda yuko faster sana, ana maamuzi ya haraka
Jurgen Klopp hails Gabriel Martinelli as 'a talent of the century.

Klopp: “That’s really difficult to deal with these guys. Martinelli’s pretty much the same age but he’s a talent of the century, he’s an incredible striker, so it’s really difficult.”

Huge praises. View attachment 1287299
 
Dah sikucheki gemu maana nilikuwa na stress na nilijua hawa washika mitutu wangeniongezea stress..... Kama mambo yalikuwa hivi safi sana....
 
Wachezaji kama kolasinac hawakua hata kwenye sub ila wamecheza! Hii inakaaje kwenye sheria asee
 
Huwa nalipita hili jukwaa kama silioni hivi mtaniona hapa hapa tena baada ya tarehe moja January baada ya mechi na Manure.

Asanteni
 
Mods toeni picha ya Emery hapo huyo mtu siyo kocha tena Maxence Melo Fang Invisible .

Tukiacha hilo.

We are supposed to play FROM the back not AT the back. Wachezaji hawafocus kupeleka mpira mbele, ni kama mtu anayejifunza kucheza PlayStation mpira. Akili inamwambia namna pekee sitofungwa ni huyu mwenzangu asipopata mpira na ili asiupate inabidi nipige pasi ila nikiwa kwangu.

Hii ni shida as ukicheza na timu yenye washambuliaji wenye nguvu na vishada kama Mane, Messi, Ronaldo, Vardy, Kane n.k. hapo ni kujitafutia matatizo.

Magoli yetu yamepatikana dk ya 60, 66 & 69. Kipindi cha kwanza chote tulitumia kumiliki, yaani kama vile kumiliki ndiyo lengo kuu la timu. Guendouz alipoingia akawa anajaribu kuvunja huo mwiko wa kutopeleka mbele mpira, kama kawaida yake.

Xhaka kapoteza mno mipira. Ni kama vile anatuadhibu kwa kumuamini. Kutokana na hilo tumejikuta West Ham ana attempts 10 na Arsenal 7, ingawa wote tuna on target 4 hii inamaanisha to play AT the back na Xhaka kukosea pasi kumetufikisha hapo.

Anyway, wewe jamaa wa chumba cha pembeni unapiga mno kelele wakati mimi mwanangu anataka kulala. Tuheshimiane, una mabinti wawili, mmoja kamaliza o level mwingine yupo la tano ukiendelea utakuta stori ya mmoja wao kwenye uzi wa tunda kuliwa kimasikhara.
Haha aisee
 
Back
Top Bottom