Pepe , auba na martinel wanaweza tengeneza utatu mmoja mzuri sana
Laca anatabia ya kuhold sana mipira ,anajimwambafai sana akiwa na mpira ,
Faida ya martnel anacheza winger zote na CF , hivo anakuwa fkexible kufanya movement kila upande ,
Auba pia anaweza kutokea pemben , hii inafanya hawa watatu nione wanendana sana kuliko laca akiwepo timu inakosa balance ,
Laca ana demand £200k , itakuwa poa akiuzwa na hela yake iongeze beki,
Madrid nao kama wanamtaka Auba , walete hiyo hela na Jovic ,
ila martinel ni hazina kubwa anajua nn anachokifanya ,
Pale katikati kiungo akicheza xhaka & toreira kinakuwa compact ,
Colum aachwe Kama CB,
View attachment 1287402