Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,180
- 3,419
Hapo sawa mzee, unajua nilistuka.Kikosi kilibadilishwa baada ya berellin kutolewa katika wachezaji wanaoanza mkuu
Hapo sawa mzee, unajua nilistuka.Kikosi kilibadilishwa baada ya berellin kutolewa katika wachezaji wanaoanza mkuu
Freddie: "The energy of Martinelli, he’s like a Duracell battery, he never stopped moving and running!"
#AFC Gunners.com on TwitterSawa.Labda unikumbushe , Lini benzema alicheza kama RW ,
Lineup za Madrid enzi za BBC , benzema alikuwa anacheza CF ,
Naongea kitu ambacho nilikuwa nakiona ,
Japo baadae kwenye 4-4-2 ,cr7 alicheza kati na benzema
View attachment 1287560
Hicho ni kifaaYah Diego Simeon
Ndio maana nkamwambia Aaron Arsenal not too fastMzee unamtukana Lacazette.
Martnell yuko poa tangu day one namuona Europa nilijua ni yuko poa. Lakini kudai Laca aende kisa huyu dogo siyo sahihi.
Lacazette kwa uwezo wake wa kukaa na mpira na nguvu anastahili kua right wing au CF. Martnell anapendeza kua CF kwa sasa, Pepe jana katukosesha goli la nne, bado tumtupe Lacazette?
Mi siamini.
Mkuu tukimpata huyu Simeone tutakuwa tumelamba dume aisee!.. Arteta mimi simuamini sana, hapo tunacheza kamali tu, mtu hajawahi kufundisha hata championship tuna uhakika gani kama atafanikiwa!.. Kwa matatizo tuliyonayo Arsenal anahitajika kocha mzoefu ingawa hata akicheza Arteta kwangu ni sawa ukilinganisha na yule mhindi aliyeondoka!Hicho ni kifaa
Sawa mkuu, ila mm naongea uhalisia kumbuka hawa wanaleta chokochoko za kusepa ,Ndio maana nkamwambia Aaron Arsenal not too fast
Bajeti ya 40 ni mbwembwe tu, Josh amesema ata invest zaidianceloti sidhani ataweza kukubalii, kupokea timu ambayo ina mapungufu kweny middle na defense, alafu ana bajeti ya 40m!!
aise hapo pagumu sana
Kama tunaona tunaweza kua na Arteta basi ni bora kubaki na Ljungberg. Ljungberg kamzidi Arteta angalau 1% Ljungberg kashakua head coach kabla ya hapa Arsenal anajua machungu ya kuwajibika kwa kukosa matokeo. Ana uzoefu wa kua direct responsible kuliko Arteta.Mkuu tukimpata huyu Simeone tutakuwa tumelamba dume aisee!.. Arteta mimi simuamini sana, hapo tunacheza kamali tu, mtu hajawahi kufundisha hata championship tuna uhakika gani kama atafanikiwa!.. Kwa matatizo tuliyonayo Arsenal anahitajika kocha mzoefu ingawa hata akicheza Arteta kwangu ni sawa ukilinganisha na yule mhindi aliyeondoka!
Mzee timu yetu haina hiyo shida. Now usinielewe vibaya ukasema nimemaanisha we are invincible, hapana, ila hatuna ubovu wa mpaka kocha akimbie timu.anceloti sidhani ataweza kukubalii, kupokea timu ambayo ina mapungufu kweny middle na defense, alafu ana bajeti ya 40m!!
aise hapo pagumu sana
Kiujumla Ljumbareg anakitu ataleta pale lkn pia apewe na mda maana ninamuona kama anatafuta kitu flani hivi kwa wachezaji lkn pia January zipatikane signature za muhimu hasa CB apatikane mmoja pia CM na AM maana kuna kitu atatupa huyu mtuMzee timu yetu haina hiyo shida. Now usinielewe vibaya ukasema nimemaanisha we are invincible, hapana, ila hatuna ubovu wa mpaka kocha akimbie timu.
Kila siku nasema. Mchawi wa Arsenal ni morali kua chini

Tuna CB Holding, Sokratis, Luiz, Chambers na dogo nimemsahau. CM tuna Ceballos, Niles, Ozil (Anaweza cheza kama CM au AM) Willock, Xhaka na Torreira (natural DMF ila kwenye 4 3 3 wanakua CMF), Guendouz, Smith Rowe, Willock n.k. nahisi AMFKiujumla Ljumbareg anakitu ataleta pale lkn pia apewe na mda maana ninamuona kama anatafuta kitu flani hivi kwa wachezaji lkn pia January zipatikane signature za muhimu hasa CB apatikane mmoja pia CM na AM maana kuna kitu atatupa huyu mtu
Maoni yangu hayo
Luiz na sokratis hawa siowakuwaamini , tunahitaji beki kama upemacano ,Tuna CB Holding, Sokratis, Luiz, Chambers na dogo nimemsahau. CM tuna Ceballos, Niles, Ozil (Anaweza cheza kama CM au AM) Willock, Xhaka na Torreira (natural DMF ila kwenye 4 3 3 wanakua CMF), Guendouz, Smith Rowe, Willock n.k. nahisi AMF