wenger ana akili saana.
Ile timu ni ya baadae, yaani kwa sasa anaisuka ndo maana mambo yako vile...
Teh teh wakubwa tuliona nbali na kugundua kuwa huyu Mzee Wenger ni sawa na huyu Mkwere.
Ahadi nyiiiiingi then mwisho wa Siku anaanza upya kuahidi....puumbav
wenger ana akili saana.
Ile timu ni ya baadae, yaani kwa sasa anaisuka ndo maana mambo yako vile...
Teh teh wakubwa tuliona nbali na kugundua kuwa huyu Mzee Wenger ni sawa na huyu Mkwere.
Ahadi nyiiiiingi then mwisho wa Siku anaanza upya kuahidi....puumbav
Arsenal bingwa msimu huu wa UCL na EPL. Anaebisha mkono juu...........
..ha ha ha, yaani na machungu yote imenibidi tu nicheke. Acheni tu...najuta wallah! msiniulize najutia nini.
Arsenal, Together we Stand.
Vipigo kama hivi nawakumbukia waliojitolea mhanga kwa ajili ya Arsenal.
RIP Suleiman Omondi, ---Mungu akupe makaazi mema, wallahi tena.
Nauza ticket yangu na Wigan jamani sitaki kwenda kuaibika miye
Najuta kwanini nimechomoka ucngizini ili nicheki matokeo manake nimegoma kucheki mechi ili nisiumie. Let WENGER move out, i'm sure his tactics are already obsolete for Arsenal!
Mkuu imagine siku mnachukua kichapo Old Trafford ( baada ya miaka yote) toka kwa City tena kizembezembe kama staili ile ya kwetu ? Unadhani mitaa ya Manchester kutakalika? unapokuwa na "noisy neighbour" ambaye hana ustaarabu inatakiwa uvumilivu wa hali ya juu aisee.Mkuu hii issue ya kufungwa na Spuds naona imewauma Gunners wengi maana nina wasela wangu wawili ni wapenzi wa Arsenal wanalalamika tu utadhani wamekosa ubingwa.
Sio kwamba hatuna imani na Wenger ama tunapenda turudi enzi za kina Graham, ila kwa kweli tumegundua Premier league imebadilika sasa tofauti na miaka 6 nyuma, yaani hii ligi sasa imegeuka kuwa kama serie A, tactics imekuwa ndio sehemu kubwa ya mechi.Bring back that corrupt George Graham, who made Arsenal the most boring team to watch in the history of English Premier League. Once a corrupt club, always a corrupt!
Hawafungi timu yake ya utototnii mpaka sasa anaisapoti ni Asenoo :teeth: huyo Ashley Young mbona una wasiwasi lolTimu letu linaboa kinomaaaa,michazaji hipo hipo tu uwanjani.rotation ya wenger wakati bado hatuja qualify imetu-cost,na kaona kabisa watu hawa creativity lakini kachelewesha mabadiriko matokeo yake ndio haya mambo sasa yamekuwa magumu zaidi.
Kipigo cha spurs ukijumlisha hiki alafu jumamosi asubuhi unaenda kukutana na ashley young balaa tupu.wiki ndefuuuu sana.
Fabregas anakosa mechi 3,Aston Villa,Fulham na Man Utd,duh!
haya msije kujitetea kama vijana wa darajani wanasema oh sijui 26 JT,8 FL,5 ME hawapo ndio maana timu inayumba!tushazoea hii.