Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Waaaapi Mbu.....wapi AW.......wapi Blntd?....wapi genaika?
Sawa sawa mkuu, ukiangalia magoli tunayofungwa mara nyingi ni aidha freekicks ama kona, na kinachokera ni kwamba pamoja na Wenger kuwasisitiza wachezaji wetu kuhusu ku-concede freekick ama kona zisizo na mpango( kwa vile beki zetu ni dhaifu kwenye aerial zone marking) bado wanarudia yaleyale, kati ya magoli mawili tumefungwa leo 1 ni freeckick ambayo Rosicky hakuwa na sababu ya kuisababisha na jengine ni penalti ambayo vile vile hakukuwa na sababu kwa nini Fabregas ainue mkono na kusababisha penalti? Na ukirudi nyuma freeckick kwenye mechi ya Chelsea ambapo Alex alifunga ama lile goli la Andy Caroll dhidi ya Newcastle, hili ni tatizo la miaka nenda miaka rudi.upumbavu wa wachezaji wetu,wanamuangusha sana wenger sijui hawasaidie vipi.
makosa yale yale tu,mtu una nafasi ya kufunga unaenda kutafuta kutoa pasi bila sababu.
kitu kingine pia fans wanaotuwakilisha emirates hawajui kushangilia kwa nguvu zote kuwapa moyo wachezaji wapo wapo tu wanafuata upepo wa mchezo wakati wanajua nyumbani wanatakiwa wapige kelele kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Duh, ngosha naona umeibuka..bungeni vipiHiyo ndo football.......Sisi ndio wahapahapa..............Kufungwa jadi yetu.....lolz........Hakika ligi ya mwaka huu ni tamu na chungu
Mshafulia nyie, naenda zangu jukwaan kwetu, at least tutapumua frm miluzi yenu ths week, nyambafu.
Nilikuwa nafuatilia game ya chelsea utadhani mie mshabiki wa Birmingham, Ben Foster katusaidia leo lol. Ngoja nichekelee tu sasa hivi. Again poleni.Chelsea kafungwa naona tumepoteza opportunity kubwa sana leo,furaha kwa man united.
Ni sawa kabisa, na tugange yajayo ila kusaikolojia hiki kichapo kitatusumbua sana, ukizingatia Spuds ndio wapinzani wetu wakubwa na ni miaka mingi sana hawakuweza kutufunga nyumbani, kwa wapenzi tumeumia sana leo, ni afadhali kufungwa na timu nyengine yoyote ila sio hawa Yids, Dah naandika huku namalizia Buds ya 4 niki-reflect hiki kichapo, absolutely shattered!!!Poleni wenzangu wana GUNNERS, inauma but we can not change this 2-3 results.......Chelsea na wenyewe wamelala kwa bao moja.
Pole hizi ni maalum kwako ndugu yangu Mbu, "POLE SANA". Safari hii nimekupata, tena hapo hapo nyumbani kwako!
kweli huzuni kwa kichapo chake arsenal
kilichotokea pale emirates , tukasema mioyoni twamaliza game kwa kipigo
wenger ajifunze ligi si lelemama