Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

N'golo Kante

Minutes played: 287
Goals from open play: 2

Nicholas Pepe

Minutes played: 638
Goals from open play: 0
IMG_20191022_105954.jpeg
IMG_20191022_105949.jpeg
 
We jamaa tangu juzi umenichezea cheupe chekundu sijengi tena hoja na wewe.

Nakuuliza mambo ya Emery unajibu mambo ya klopp
We jamaa sio umesema klopp alipewa muda hapo juu hivyo patel nae apewe muda

No discussion mzee, tunachoshana na ujinga.
 
kwa upangaji wa kikosi ,unai anachemka kila leo ,mfumo wake unaitaji awe n creative mido lkn mido zot anazoeka hazna ubunifu ni zile za ku control game tu ,ktkat inapaswa awe anamuanzish torreira bdla y xhaka ,pepe ni mchezaj mzu.. naamin ktk partnership yake n bellerin.

kolasinac ame improve kweny ukabaji lkn kusaidia mashmbulizi bdo sio mzri..
 
Hivi mechi zote alizocheza Ozil na Lacazete, Arsenal alipata points 3?
 
Emery anasema "Arsenal controlled the game and created a lots of chance but failed to score"

Tulicontrol game, tulitengeneza chances ???? Sijui labda sisi tuliangalia mechi tofauti.

Afu anakera huyu jamaa hakubali kuwa ameshindwa anakwambia "we are working to improve"

Unaimprove nini sasa? Nani ana huo muda wa kukusubiri wewe uimprove, kuimprove nenda kwenu Sevilla huko wakakuvumilie,Mtu umepewa mwaka mzima bado paka leo unajifunza nini???,

mpira unaochezwa haueleweki, kutengeneza chance tatu za wazi kwetu imekua shughuli nowadays.

#Emeryout
Kaulizwa Iko wapi best eleven yako

Alichojibu ni ujinga
 
Sheffield United 1 Arsenal 0

Yaliyojiri

Kwanza Tuachane na Yote Hivi Ushawah Kukaa Ukajiuliza Hawa Wachezaji Wanaendaga Mazoezi Kufanya nin??

Ushakaa Ukajiuliza Huyu Kocha Kila Siku Anaendaga Mazoezini Kufundisha nin Ambacho Wachezaji Wanashindwa Kukiletq Uwanjan Msimu Wa Pili Sasa??

Vile Viwanja Vya Ndani Ambavyo Hutumika Kwa Ajili Ya Mbinu na Siri Zote Ambapo Hata Waandishi Wa Habari Hawaruhusiwi Kule Huwa Tunafanyaga Nin Ambacho Tukija Uwanjan Wachezaji Wote Zaidi Ya 20 Wanashindwa Kukileta??

Hivi Mpinzan Wako ni Sheffield Na Unajua Mida Mwingi Atashambulia Mashambulizi Ya Kushtukiza Vp Unaingia na Viungo Ambao Hawana Ubunifu na Wenye Ubunifu Zaidi yao Kinq Ceballos na Ozil Hawaanzi na Mwingine Hata Hajasafir na Team??

Unai Unatufanya Sisi Tumchukie Willock Wakat Hajatukoseq Lolote Unataka Lawama Tumpe Yeye Kashindwa Kucheza Wakat Wachezaji Matured Zaidi Yake Unao??

Janq Tokea Mpira Unaanza Mpaka Anatolewa Yule Nicolaus Pepe alikuwa Best Player Uwanjan Kwa Kila Kitu Achana na Nafasi Ya Wazi Aliyokosa

Jamaa anarud Hadi Chini Anakokota Anasogeza Team Sehem ya Kuwachukua Anawachukuq Sehem ya Kupenyeza Anapenyeza inafika Mahali Anakosa Goli Mtu Anatumia Mwanya Huo Kuaminisha Watu Kuwa Katunyima Ushindi

Tumecheza Dakika Tisini Tumetengeneza Nafasi Moja Afu Team Tuliyocheza Nayo Ni Sheffield Muda Utatuambia ila Tuna Game za Away Nying Sana Ambazo Unai Anaenda Kutuaibisha Kwa Style Hii

Sasa Hivi Hatuna Muda Wa Kuongea Sana Juu ya Ubovu wa Kocha Tuliyenaye Acha Mpira Uongee Hadharani Maana Uzuri Wa Soka Linachezwq Hadharani...

Katika Sehemu Ambayo Arsenal Wamekuwa Wabovu Kuliko Zote Ni Idara Ya Kiungo
Kwanin Nasema Kiungo?? Hii ndo Sehemu Ambayo Hutumika Kuficha Madhaifu ya Backline Mara Zote Kama Viungo Wenyewe Mpira Hawaitak Ni Guendoz Tuu kwanin Tuswe Open Kwenye Defence

Toka Naijua Arsenal Miaka Yote Haijawah Kuwa Dhaifu Sehem Ya Kiungo ndo Nashuhudia Sasa..

Unai Out...
IMG_20191011_102748.jpeg
 
Back
Top Bottom