Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Ivi kumbe siku izi jina Amber Rutty ni tusiheshimu jukwaa ili aisee..kama ni matusi peleka sehemu nyingine.mambo ya amber rutty yameingilia vipi?!
Ivi kumbe siku izi jina Amber Rutty ni tusiheshimu jukwaa ili aisee..kama ni matusi peleka sehemu nyingine.mambo ya amber rutty yameingilia vipi?!
Vutendo vinaonesha hata kama hujatangaza niaMkuu unanilazimisha kupost hata kama sijatangaza nia?![]()
![]()
Katika hao uliowataja yupi amewahi kufunga goli tano katika mechi moja
Hata Kagere anakiwasha SimbaMbona ufaransa uko pepe akiwa lile alikuwa anakiwasha sana migoli yakutosha sasa tatzo nn saiz apo asenane
Kwani Evra ndiyo mtoa standards? Huyo si kuku tu kama kuku wengine?Usiwe mbishi kama watoto wadogo. Hivi hii takataka yenu ndo unataka kuilinganisha na hao wacjezaji!? Ndo maana Evra amewatukana
N'golo Kante
Minutes played: 287
Goals from open play: 2
Nicholas Pepe
Minutes played: 638
Goals from open play: 0View attachment 1240818View attachment 1240819


Pepe tumepigwa mkuu..Ndugu zangu huyu Pepe kuna goli amekosa first half,hapana huyu tumepigwa kwa kweli
Uendi kujadiliana na top four wenzako?
Na iwe mwanzo na Mwisho kuleta hizo kwato na kidomodomo chako kule jukwaa la klabu kubwa chelsea . Nyang'au mkubwa wewe . Wewe pamoja na huyo mjinga mwenzio Dully Jr.


Vutendo vinaonesha hata kama hujatangaza nia
Pepe tumepigwa mkuu..
We ni kilaza kushabikia timu ya wafu asenane
Mkuu mmeamua kurudisha matusi?Prisca je? Yule lesbian america
Umeanza kufatilia mpira liniNdugu zangu huyu Pepe kuna goli amekosa first half,hapana huyu tumepigwa kwa kweli
Kila chance inafungwa?je uliangalia mpira unajua ulikuwa na kas gan?Hapa jamaa ilikuaje hakufunga?