Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Baba ni nina hasira hapa. Maana ndugu Pepe kakosa goli yeye na kipa akaja andazi mwingine badala ya kuscore eti akajidondosha yaani kama vile Tammy na Rashford wameloga forward yote icheze kama wao.
Hizi hasira zinaenda kumaliziwa kichochoroni. Hawa Man U na Chelsea nitakutana nao kesho nikiwa mwepesiiiiiii.
Siku hizi una confidence ya kuja JF ukiwa umefungwa? Mkuu hakika umekua sasa unaonyesha ukomavu kama mtu mzima.Mesut Özil told Unai Emery in Baku:
“You are not a coach”
5 months later:
Fans come together with #UnaiOut
Mesut Ozil, he’s done it again...
Unaisemeaje Newcastle United bwana Maneno
Walizani kuna zile nane tena
Namba yake anacheza.sakaya sijui sakayo sijui sakasaka daaaa
Kikawaida Arsenal akifungwa huwezi ona shabiki wa Liver akiwaponda. Nyie mahaba yenu huwa yamezidi kikomo. Hongereni kwa kupendanaSasahivi ninahakika Ollachuga Oc anajiunga na Bando la kufa Mtu aibukie hapa
Kwa Chelsea hii bila kurud sokon ,tutakuwa tuna ibetia championship
Mkuu nafukua kaburi. Hii siku tulikua tumetoka kudraw na Sheffield. PambavSasa Chelsea ile ya hazard ndio hii hata Sheffield anaimudu,
si bishana na wala ugoro we boyaa. swala ni muda tu mpaka unai ang'oleweMvuta bangi mwenzio huyu hapa
View attachment 1240639
Mzee mahaba yako nayaona. Sisi tulidraw na Sheffield hawa ndugu zako wamefungwa kabisa.Kudraw na Spurs ni tofauti na Kudraw na Sheffield United
hata hawana hadhi ya kuwa Chelsea B hawa, hawana hiyo hadhiConte alichukua kombe msimu wa kwanza, Emery msimu wa kwanza HOLAAAA
Sari alichukua kombe msimu wa kwanza, emery msimu wa 2 HOLAAAA
Lampard atachukua kombe msimu wa kwanza, Emery msimu wa 3 itakiwa HOLAAA
Hii Arsenal muuzieni ABROMOVICH iwe Chelsea B
Wewe ni wale watu hawaangalii mechi ila ukifika kijiwe nongwa unataka usikilizwe. Huyu Tammy amekosa magoli kabaki yeye na kipa mara ngapi?acha kumfananisha tammy na mitumba
Nimemsapoti sana Emery, nimepingana na watu mtandaoni mpaka kijiwe nongwa. Msimu uliopita alikua na kila sababu ya kuganya tucheze vile tulivyocheza.Surprisingly there are fools here who are still supporting Emery
Hahahaha siyo malaya ni kasista du fulani hivi. Ila nishakua mwepesi nimerudi.mkuu huyo malaya alitoka salama usiku?