Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Edu amebaki na MASHABIKI baada ya mechi

Huyu ndiye mwenye maamuzi ya kupeleka mapendekezo ya Unai kutimuliwa


MASHABIKI wametoa ya moyoni

Edu amekuwa mleta umoja NDANI ya klabu


NILISHASEMA NA NASEMA TENA SIKU ZA UNAI ZINAHESABIKA


MRITHI WA MUDA AMESHAANDALIWA NI FREDDIE LJUMBERG
 
Ornstein: If Emery gets sacked Ljungberg's ready to take temporary charge

"Freddie is highly-rated by the players and staff, and the logical feeling is he would take temporary charge if anything happened with Emery,"
 
Naskia Ozil kamwambia Unai kuwa Arsenal ni nyumbani na siondoki mpaka at least 2021 iishe
 
arsenane timu ya kipuuzi mno..... naona mmelala na viatu hata kuamka mmegoma kabisa. wehu sana emery na litimu lake ka kubet...
 
Upo sport lady ulipotelea wapi


Sikusema hutaifunga timu UCL ,nilisema jiangalien mnaweza shika mkia ,kwan uongo, shukuru umemkuta lille kashachoka

Kwenye ligi pambana soon unapelekwa nafas 10-15

Pole jamaaa. Naona umekazwa kamoja jana.

Unasemaje kuhusu kukazwa kamoja na Shelfield united?
 
Kuna wapuuz watakuja kumtetea

Subiri uone

Nilishawambia toka mech na Liverpool huyu sio kocha

Arsenal tumeanza wengine kuijua enzi za kina Denis bergkamp

Huyu muhind anaiharibu timu

Jamani kuna msiba mzito hapa tafadhalini muwahi ili tuweke mambo sawa. Kumbuka kuja na rambi rambi
 
Hii ndiyo Arsenal ninayoijua mimi. Mnaanza kwa kelele ila kuja kufika Krismasi inakuwa vilio. Labda cha ajabu ni kwamba vilio vimeanza hata October haijaisha

Yule mtaalamu wa kuropoka naona kashajipiga Ban
 
Kwa Mujibu wa bwana mmoja mshabiki wa Arsenali alisema eti baada ya mechi kumi Chelsea akiwa top four atakuwa bingwa ,naona sasa anapata aibu kweli kweli ,tisikitike kidogo naomba nimuite alipo mzee baba Aaroon ....
 
Nyie wapuuzi sisi tulipotoa draw na hawa Sheffield mlitusema ooh sijui timu imependa daraja umeshindwa kupata point 3 mama.e mmeona ilivyo shughuli sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…