Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashabiki hawataki kiungo ya Lt11, Xhaka na Matteo kwa pamoja. Wanataka Xhaka ama aachwe benchi au acheze nafasi yake sahihi. Unai anarudia makosa yale yale kila week sijui hajifunzi.

Leo Lt11 amecheza out of position kabisa bila sababu ya msingi. Ubunifu haukuwepo kabisa first half. Haieleweki tunashambulia kwa mfumo gani.

Hivi hamna namna tukavunja hata mkataba nae akaondolewa?
Tatizo linakuja kwenye kumuweka xhaka bench
 
Mateo Geundouz was the Best for me on the pitch. Kafanyiwa rafu nyingi sana ila bdo alikua kwny kiwango chake kilekile!!dogo anajua sana ila bs tu kwa vile hatuangalii mpira kwa “TATHIMIN” ila tunaangalia tuShangilie tu bs.
He is panga pangua kwetu
 
Kepa pazia??????Yaani hawa watu wa laliga wametupiga vya kutosha yan wanatuona maboya sana

Kepa home shopping center arizabagalagala £70m

Na yule forward galasa nimemsahau mpaka jina aaaagh nimekumbuka
Moratta £70m

Filipe luiz .....dahhhhhhhh wametuonea kweli

Ila tumelipiza kwa Hazard £100m,na courtour hahahaaaaaaa kuuziwa galasa kunauma jamani msisikie

Na sasa hivi tutawauzia GIROUD kwa 80m,maana huyu nae kuna wajanja Fulani wametupigaView attachment 1221520View attachment 1221521View attachment 1221522
Hilo pazia liliwashinda Baku? Mkashindwa kabisa
 
yaan wachezaji tuliowauza ambao ni carlos vela na serge gnabry tulikosea sana sijui tulikula maharage ya wapi aisee,,,hata alex iwobi ipo siku tutajutia
Iwobi sidhani, maana naona hata abadiliki. Kama tungemuuza Saka tungejuta kwani naona dogo ana potential kuliko Iwobi,Afu na Adelaide wa Lyon nahisi ni suala la muda tu majuto yataanza.
 
Kocha havumiliki mkuu, maana yeye yupo peke yke ....mchezaji anavumiliwa kwa kuwa kuna replacement waweza Fanya.....haya sasa hebu tumfanyie sub UNAI kama inawezekana!!!!!Ila Pepe anaweza akapewa program ya kujiweka sawa na wengine wakawa wanaanza....


UNAI OUT.....
Afu kitu kingine mkuu Unai tushamvumilia mwaka Mzma thn kama bado tupo kulekule tu abadiliki yani.Bora msimu uliopita kwa sasa hivi alikuwa kashinda game 5 kapoteza 2,tulikua na point 15.
 
Iwobi sidhani, maana naona hata abadiliki. Kama tungemuuza Saka tungejuta kwani naona dogo ana potential kuliko Iwobi,Afu na Adelaide wa Lyon nahisi ni suala la muda tu majuto yataanza.
Sio majuto yataanza yaani majuto tayali maana kule France dogo anauwasha hatari
 
Naona jamaa kavaa dambala kama kawa ....19:55 kick off
Screenshot_2019-10-02-19-23-39.jpeg
 
Arsenal did make a €60m bid for Upamecano during the summer window. Leipzig are now working to get Upamecano signed up to a new contract and have the release clause removed. [@SPORTBILD]
 
Arsenal will consider permanent or loan offers for Ozil when the January window opens and would be willing to pay part of his wages to pave the way for his exit - but there is a concern the playmaker is ready to sit tight.
 
MAKATABA MPAYA WA AUBA UNAWEZA KUFIKIA £350k per Week

Kwasasa Anapokea £200k Per week na Bonus ya £50k kila anapofunga


MAZUNGUMZO KUHUSU MKATABA MPYA YANAENDELEA

Talks are underway with Aubameyang, who already earns in the region of £200,000-per-week, over an extension. [@SamiMokbel81_DM]
IMG-20191001-WA0003.jpeg
 
MAZUNGUMZO PIA YA MKATABA MPYA WA LACAZETTE YANAENDELEA ,

Kwasasa Lacazette anapokea kiasi cha takribani £180-200k per Week

Mkataba mpya unaweza kumpandishia hadi £250k per week

Arsenal have also opened contract talks with Alexandre Lacazette.
IMG_20191001_094846.jpeg
 
KUTOKA KWA JAMES BENGE ,MCHEZO WA ARSENAL NA LIVERPOOL WA CARABAO UPO PALE PALE ,LIVERPOOL ATAPIGWA FAINI TU

Arsenal's EFL Cup tie with Liverpool will go ahead as planned. They have been fined £200,000 - £100,000 of which is suspended until next season - for fielding an ineligible player in win over MK Dons
 
Back
Top Bottom