Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Guendouzi ndio tunamtegemea ,pia nauona mwanga kwa SAKA ,Auba kama kawaida ameshikilia kibarua cha mtu flani hapo.
Huyo kocha ana watetez wake ,lkn mm nilishasema unai hawez kutufikisha popote ,

Angalia ana waingiza kina willock na nelson ili tufungwe afurahi

Ozil kamuacha ,kisa bifu
 
Pierre-Emerick Aubameyang this season:

Vs Newcastle (A) -
Vs Burnley (H) -
Vs Liverpool (A) -
Vs Spurs (H) -
Vs Watford (A) -
Vs Frankfurt (A) -
Vs Villa (H) -
Vs Utd (A) -

Goal/Assist every single game this season. The best striker in the league now. https://t.co/yTjOt5iyAG
 
Nilichogundua ni kwamba kuna watu wana bahati sana duniani.....has a huyu UNAI hana tofauti na PIERRE LIQUID
 
Nottice hicho ndiyo kiungo ambacho mashabiki wanakitaka. Kimewekwa, kinafanya hayo.

Pepe hapana. Huyu siyo scorer, siyo mpiga cross mzuri. Guendouz as usual control na stamina hamna kitu. Nelson mjinga sana. Kakosa goli ambalo angescore kwa mguu wa kushoto na ameshindwa kupiga kros kwa mguu wa kulia now I wonder jamaa anatumia mguu gani?

Notice kwamba hakuna hata mtu aliyepiga shuti nje ya 18. Timu imecheza mpira mbovu mno, hakuna connection hata moja niliyoiona, ni kama vile kila mtu yupo kivyake.

Now simaanishi tulitakiwa kushinda kirahisi isipokua namaanisha ilitakiwa tuonyeshe tunajaribu kushinda. Anyway nilibet itakua suluhu so nimepunguza machungu kihivyo niliwekeana na mtu elfu mbili.

Mashabiki hawataki kiungo ya Lt11, Xhaka na Matteo kwa pamoja. Wanataka Xhaka ama aachwe benchi au acheze nafasi yake sahihi. Unai anarudia makosa yale yale kila week sijui hajifunzi.

Leo Lt11 amecheza out of position kabisa bila sababu ya msingi. Ubunifu haukuwepo kabisa first half. Haieleweki tunashambulia kwa mfumo gani.

Hivi hamna namna tukavunja hata mkataba nae akaondolewa?
 
Huyo kocha ana watetez wake ,lkn mm nilishasema unai hawez kutufikisha popote ,

Angalia ana waingiza kina willock na nelson ili tufungwe afurahi

Ozil kamuacha ,kisa bifu
Nilichogundua huyu kocha wetu hapendi watu wanao challenge mbinu zake mbovu za ufundishaji ndio maana anawapanga hawa watoto wake wanaokubali kila asemacho, poor Unai.
 
Yaani mpaka hawa wendawazimu tunashindwa kuwanyoa.

Alafu vile vitoto anavipendea nini ,hivi hajajifunza kwenye mechi ile ya Watford tuliyo draw kizembe,baada ya kumtoa Ozil na Ceballos.
 
Pamoja na mapungufu yote aliyonayo lakini Guendouzi anaonesha kujituma sana mpaka Cesc ana mkubali
Screenshot_20191001_002318_com.twitter.android.jpeg
 
Huyo kocha ana watetez wake ,lkn mm nilishasema unai hawez kutufikisha popote ,

Angalia ana waingiza kina willock na nelson ili tufungwe afurahi

Ozil kamuacha ,kisa bifu
Hawa watoto wanazingua wajaribu kujifunze kwa wenzao ile confidence level, kama wanajiona wadogo wanatakiwa wajue hata Guendouz na saka ni wadogo pia lakini wanasumbua watu wazima.

Angalia yule mtoto Saka mpira haupotei kizembe utadhani mtu mzima kumbe mtoto tu.Ashley young anabaki kumshika tu.

Pepe mpira anaujua,ila confo ipo chini anashindwa kutulia kufanya maamuzi ya maana.Huyu jamaa tusubiri laca arudi labda anaweza punguziwa majukum akarelax kidogo acheze mpira, maana yupo under pressure sana plus ile Transfer record signing ndio inamchanganya zaidi.
 
Pepe ana kas sana , tatizo kocha kashindwa kumtumia
 
Mateo Geundouz was the Best for me on the pitch. Kafanyiwa rafu nyingi sana ila bdo alikua kwny kiwango chake kilekile!!dogo anajua sana ila bs tu kwa vile hatuangalii mpira kwa “TATHIMIN” ila tunaangalia tuShangilie tu bs.
 
Back
Top Bottom