Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arsenal ready to let Mesut Ozil leave on loan in January. [@SamiMokbel81_DM]
Hehe.. Wao ndio wamelipiza au umesahau au hujui kabisa?Mkilipiza zile nne za Man U mkikutana kwenye Ligi heshima yangu utapata.
Hakihusiani na nilicho andikaKijana tuliemkuza kapeleka msiba huko Spurs, Arsenal ni maji usipoyaoga...utayanywa tu.
London our city
Hata wewe ni mchambuzishaffih dauda ni mchambuzi?! harafu we nyamaza tu kipigo cha manchester (utd & city) umevisahau?!
Shaffih ni kanjanjaHata wewe ni mchambuzi
Hata wewe piaShaffih ni kanjanja
KwaniniHata wewe pia
Kwa sababu una macho mawili kama yeyeKwanini
Hahahhaa acha hizo,Kwa sababu una macho mawili kama yeye
shaffih dauda ni mchambuzi?! harafu we nyamaza tu kipigo cha manchester (utd & city) umevisahau?!
Huyu Pepe ni hatari mkuu,na naridhika na mwendelezo wake,Maelezo kuhusu Picha juu ya African boy Nicolas pepe. Angalia pcha. Tuje tuzungumze katika jicho là Ufundi. Unamuona pepe anavyopokea mpra angalia wachezaji wa Arsenal mwangalie SAKA, TORREIRA, AUBA walipo .
Tuje Lille namna pepe alivyoweza kuhit IKONE na bwana BAMBA walikuwa wanatengeneza movement kwa namna hiii IKONE anakimbia Uelekeo wa alama ya mshale. Na kuwafanya wapinzani wa Mark na bwana BAMBA anakimbia katika kinyume (opposite) na IKONE hivyo bas hilo genge lilomzunguka pépé usingeweza kuliona. Hivyo pepe anapokea mpra na kuu curls in.
Na pépé angedondosha Mali na kuupokea katika uelekeo wa alama ya mshale magoli mengi ya pepe ni ya movement mikimbio na hivi ndvyo pepe alivyocheza Lille akichagizwa na connection ya BAMBA, IKONE na LEAO na kuweza kushain, pepe ajafunga goli yard 40 akiwa Lille huyu chakubanga spanish EMERY hana Football brain ya kuwafanya watu kuwa deadly ngoja niisubiri connection ya pepe na bellerin katika overlapping labda atafanya jambo kumsaiidia pepe.View attachment 1221243
Kwani msimu huu na nyinyi mmewafunga nne?Hehe.. Wao ndio wamelipuza au umesahau au hujui kabisa?