Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal are interested in #RMCF’s Martin Ødegaard to replace Mesut Özil.

Real are not expected to sell him for less than €80m.

Dortmund, Inter, Man City and Atlético Madrid are also interested. [@eldesmarque] #AFC
IMG_20191001_220446.jpeg
 
Bergkamp, Henry and Pires took around 8-15 games to adjust before starting to grow in confidence. Pepe has played 7 games and already written off as a flop
IMG_20191001_140226.jpeg
 
Ishu ni kwamba timu haina mipango, yaani paka Tuanzebe achomeshe boko ndio tupate goli.

Paka sasa hivi unaweza kunambia kwanini tunapata matokeo ya ovyoo na kwa kubahatisha, je ni kwamba hatuna wachezaji wakutupa matokeo ya uhakika?

Ni lini unai ameshinda hata 3-0 au 4-0 kwenye EPL akiwa Emirates, kitu ambacho ilikuwa kawaida sna kipindi cha AW tunapocheza na midtables japo tulikua na Average players kuliko hawa wa leo.

Leo tukicheza na leicester,Watford,Wolves inakua km fainal eti sisi ndo tunapigwa 3-0, 3-1,...AW alikuwa anapoteza mechi na midtables ndio sikatai, lakini haikuwa kwa wingi huo wa magoli na azidiwe hadi ball possession , never.

Sisi tulitaka kocha ajaye aanzie pale AW aliposhindwa, ila huyu naona anaturudisha nyuma tuanze kujifunza hadi ball possession tena, AW kwa timu hii angefanya poa mara kumi zaidi ya huyu anachokifanya.

Fukuza huyu leta Ten hag tuenjoy football.
Hata yule NUNO wa wolvers anafaa kabisa,lile ni jeshi haliogopi linashambulia home&away
 
Weka msimamo wa ligi now
Jana timu yenye defence mbovu inakutana na timu yenye forward butu, utategemea draw tu
Man U wazuri nyuma na katikati wamefanana kidogo na Arsenal ila mbele ni butu
Arsenal wazuri mbele, katikati wamefanana kidogo na Man U ila Nyuma ni bomu
Ndicho kilichofanya jana mpira uwe hovyo, boring na hakukuwa na burudani kabisa. Utadhani Stendi na Singida United ndizo zilikuwa zinacheza. No game plan nzuri, no ball control, no dribbling, long passes ambazo nyingi zilikuwa zinafail. Majirani msipojirekebisha mid-table ni yakwenu hata top six hakuna
 
Gnabry on leaving #Arsenal:


"[Arsenal] had so many wingers at the time - Chamberlain, Rosicky, Theo, Cazorla, Alexis, Özil - so I just had to go. I was still confident I could've got in the team but I didnt want to wait. I didn't want to be fourth or fifth choice any longer"
Dogo Gnaby naona kawatia nne spurs
 
SERGE GNABRY KAWEKA 4 PEKEYAKE AISEE....HAWA KINA NELSON KWELI WATAFIKA HUKU????????
Acha tu tena namna jamaa anascore very comfortably. Kamfunga yule kipa kwa mguu wa kushoto mara mbili na wa kulia mara mbili, Nelson jana kakosa goli kwa mguu wa kushoto na kashindwa kupiga krosi kwa mguu wa kulia, huyu anatumia mguu gani sasa?
 
Hata yule NUNO wa wolvers anafaa kabisa,lile ni jeshi haliogopi linashambulia home&away
Baba huo mtindo wa kushambulia kila mahali ndiyo ulifanya Simba afe tano tano na Arsenal tukafa kumi ndani ya mechi mbili na Bayern na Barcelona kutupopoa kila tulipokutana nao.

Kocha lazima ajue leo nakutana na Barca hawa wakali basi nisishambulie nitegemee kaunta, ndiyo maana Mourinho alishinda even in ugly way lakini ni alijua kwa wachezaji nilionao nisivimbe kichwa nikashambulia.

Pia kama umegundua Wolves wanakua wakali wakicheza na Man U na some big 6 teams wakitoka hapo hua wanabakwa na kubaka. Hivyo mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa, Benitez anafaa pia.
 
Back
Top Bottom