Huyu Pepe ni hatari mkuu,na naridhika na mwendelezo wake,
Hao wanaopiga kelele walete takwimu kumcopare na wachezaji wao.....
Wao wanataka kuona anacheza kama alivyokuwa LILLE haiwezi kuwa haraka namna hiyo,wapunguze mihemko....in suala LA muda tu.
MTU ni mgeni katika ligi na kitakwimu anaenda saw a na wenyeji alafu munaponda hahahaaaaa
View attachment 1221289View attachment 1221290View attachment 1221291
TATIZO kuna mashabik wanafata mkumbo tu, kama mashabik wa man u ambao wachezaji wakiwanunua wanataka immediately waanze kufanya vzr ,
Arsenal INA shida ya Kocha ,
Timu haipossess ,timu kiungo hakieleweki,
Pepe ata perform vipi kama lille?
Yeye mwenyewe Pepe anasema Haitamchukua muda mrefu atakuwa form
Tayari baadhi ya mashabik wanafata maneno ya haters ,
Hao wanaomponda pepe , Ndio hao hao wenye Kina pulisic, Fred ,magwaya , ambao hakuna lolote jipya wanalofanya
Kuna hazard Kule Madrid anazulula tu, na katoka ligi ngumu EPL ,
Kuna MTU nilimwambia ,angemuona henry,Denis au Pires walivyopoteana mech 10 za mwanzo , sijui angesemaje
Juzi tu hapa lacazette alichukua muda sana kukaa sawa
Sasa pepe mech 7 tu tena nyingi katokea bench, hana preseason , tayari kelele kibao
Pepe ana kas sana ,anasema kasi yake ni ya mazoezi sio natural kama ya Auba ,
Sasa Emery hawek creative midfielder ,kama Ozil wakuwa anampitishia mipira aikute mbele,
Angalia Salah alivyokuwa ,ni MTU wa kasi sana , lkn ana mapungufu mengi sana, ila kukutana na Genius Klopp ,anamuwekea RB ya kumletea mipira ,