Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu jamaa bado anafanya experiment mwaka wa pili sasa. Mwaka wa pili amechokwa utafikiri amekaa miaka 6.
Hata baadhi ya viongoz waandamiz wa klabu wamemchoka

Timu haiwez tena Ku possess mpira ,

Man u walikuwa hawawez kutuzidi Ku possess mpira lkn kwa unai man u hii tia maji tia maji wana possess ,
 
Huyu jamaa bado anafanya experiment mwaka wa pili sasa. Mwaka wa pili amechokwa utafikiri amekaa miaka 6.
Mesut OZIL alimwambia UNAI EMERY

"Wewe siyo kocha"

Je Unafikiri OZIL Alitumia vigezo gani mpaka akadiliki kusema hivyo!!?

Sasa humu tukisema Unai Emery siyo kocha kuna watu wanakuja na Ngonjera kwa ajili ya kumtetetea sijui nao wanatumia vigezo gani
kumtetea wakati mchezaji anayeshinda nae,anaongea nae,anakula nae pamoja
Ametuhakikishia kwamba Unai siyo kocha.

Kwa nini tumpinge Ozil!!?

Ozil amepitia makocha wengi kuanzia
Bremmen
Kwa Low National team
Jose Mourinho
Arsene Wenger

Miongoni mwa hawa makocha wote Ameona
Unai ndo kocha ambaye siyo kocha
=_==_==_==_==_==_==_=
Hata mimi naungana na ozil kwamba Unai Emery siyo Kocha.

Mtu una

Pepe
Aubameyang
Ceballos
Torreira
Ozil
Bellerine
Tierney
Timu inacheza mpira mbovu Vile

TIMU HAIPOSESS TENA , NAFASI HAZITENGENEZWI ZA KUTOSHA .

Msimu uliopita tulimtetea kuwa ana average player wengi , Bodi imewaondoa wale average player kwa 98% .

CHA AJABU NDIO KWANZA TIMU INA CHEZA KAMA CHANDIMU

UNAI OUT
IMG_20190917_120543.jpeg
 
Apparently we're amongst several clubs interested in signing Martin Ødegaard for €60m+, although Real Madrid want nearer the €80m.
City want him to replace Silva, Arsenal must be looking at him to succeed Özil.
Worth the money?
 
Mesut OZIL alimwambia UNAI EMERY

"Wewe siyo kocha"

Je Unafikiri OZIL Alitumia vigezo gani mpaka akadiliki kusema hivyo!!?

Sasa humu tukisema Unai Emery siyo kocha kuna watu wanakuja na Ngonjera kwa ajili ya kumtetetea sijui nao wanatumia vigezo gani
kumtetea wakati mchezaji anayeshinda nae,anaongea nae,anakula nae pamoja
Ametuhakikishia kwamba Unai siyo kocha.

Kwa nini tumpinge Ozil!!?

Ozil amepitia makocha wengi kuanzia
Bremmen
Kwa Low National team
Jose Mourinho
Arsene Wenger

Miongoni mwa hawa makocha wote Ameona
Unai ndo kocha ambaye siyo kocha
=_==_==_==_==_==_==_=
Hata mimi naungana na ozil kwamba Unai Emery siyo Kocha.

Mtu una

Pepe
Aubameyang
Ceballos
Torreira
Ozil
Bellerine
Tierney
Timu inacheza mpira mbovu Vile

TIMU HAIPOSESS TENA , NAFASI HAZITENGENEZWI ZA KUTOSHA .

Msimu uliopita tulimtetea kuwa ana average player wengi , Bodi imewaondoa wale average player kwa 98% .

CHA AJABU NDIO KWANZA TIMU INA CHEZA KAMA CHANDIMU

UNAI OUTView attachment 1222498
Anamchukia ozil kwakua kambwambia ukweli ananikira sana emery binafsi nilitamani kumuona wakimfuta kazi afundishi mpira wa tamadini yetu mpira tulio uzoea timu aichezi kabisa
 
Anamchukia ozil kwakua kambwambia ukweli ananikira sana emery binafsi nilitamani kumuona wakimfuta kazi afundishi mpira wa tamadini yetu mpira tulio uzoea timu aichezi kabisa
ANGALIA ANAVYOIHARIBU TIMU

A few Arsenal stats from @WhoScored

Arsenal is the team which allows the most shots to their opponents and has the most penaltys against.

They are bottom 4 for tackles and interceptions with a middle of the range 53% possession (9th) .
IMG_20191003_125222.jpeg
IMG_20191003_125219.jpeg
 
Huyu kocha wa Salzburg inabidi tumpe nafasi katika timu yetu pata picha kwa mpira wanaocheza hawa watoto na kikosi cha bajeti ndogo
Hapana kabisa wazee. Tena hapana napinga. Kama hivyo ndivyo basi hata kocha wa Norwich tumpe nafasi maana aliwafunga city
 
hivi bodi ya arsenal hawakuona jicho la upande Brendan Rodgers kipindi yupo celtic
Tetesi zilikuwa kwa Eddie Howe na Brendan Rogers kabla AW hajaondoka, thn Arteta akafanyiwa interview akaleta masharit gani sijui,Ile kauli ya mzigo mzito mpeni mnyamwezi (unai) ila naona unamshinda sasa,
 
Gazid sijui alienda kumkurupua wapi unai

Arteta alikuwa tayari kuja , Ila arsenal waliingia wasiwasi na uzoefu wake ,

Lkn kwa sasa Arteta ni mtu sahihi kurudisha ule mpira wetu, anatakiwa kocha kwanza anayeijua Arsenal .

Emery kaja kuvuruga kila kitu

Juzi kina per wamemaind sana kwa mpira mbovu

Pia inasemekana JOSH hamuelewi unai , kinachotokea ni ile Mpaka sasa hawajapata upenyo wa kumtimua .
 
Arsenal may be able to sign RB Leipzig defender Dayot Upamecano for £53m

His release clause will fall next summer, allowing a cheaper deal. (unless he signs a new contract before the end of the season)

[L'Equipe, via The Sun]
 
Since Emery joined us, he's played 4-2-3-1, 4-4-2, 4-3-1-2, 4-3-3, 3-4-3, 3-4-1-2. Also 4-2-2-2 & 4-1-2-1-2 Man is doing a PhD in football formations and using Arsenal for practical experience.
 
Since Emery joined us, he's played 4-2-3-1, 4-4-2, 4-3-1-2, 4-3-3, 3-4-3, 3-4-1-2. Also 4-2-2-2 & 4-1-2-1-2 Man is doing a PhD in football formations and using Arsenal for practical experience.
Daah!... Kweli kabisa!.. Jamaa anajaribu kila formation lakini hajapata formation inayomfaa!
 
Back
Top Bottom