Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hiyo mkuu pepe tumepigwa au???
Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kuridhishwa na kiwango cha huyu Pepe tangia kwenye michuano ya Afcon mpaka sasa. Jinsi anavyoongelewa ni tofauti kabisa na kiwango chake.

Ngoja tumpe muda angalau hata huu msimu upite labda tutamuona Pepe wa £67m.
 
Pepee!!!!unanipa mashaka sana kutoka na style yako ya uchezaj
Huna vungu za miguu
Hauna shot on target
Speed ya kudrible inazid kupunguaa
Then huna stamina versus man to man

We will miss you LACAZETE
 
Kwa wachezaji waliopo Arsenal naona kabisa tatizo ni kocha. Yaani timu haieleweki inashinda kwa Bahati hadi kudroo kwa Bahati hakuna muunganiko wa kueleweka. Auba kapotea njia huku, xhaka wa kumweka nje Toreirra?
 
Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kuridhishwa na kiwango cha huyu Pepe tangia kwenye michuano ya Afcon mpaka sasa. Jinsi anavyoongelewa ni tofauti kabisa na kiwango chake.

Ngoja tumpe muda angalau hata huu msimu upite labda tutamuona Pepe wa £67m.
Kocha hawez kumtumia , pepe ana kas sana ,

Sasa timu haikai na mpira , halafu kocha muda WOTE anawaza Ku defence tu
 
Epl si ya kitoto kule France aliupiga sanaaaaaa
Kiukweli mimi binafsi sikuwahi kuridhishwa na kiwango cha huyu Pepe tangia kwenye michuano ya Afcon mpaka sasa. Jinsi anavyoongelewa ni tofauti kabisa na kiwango chake.

Ngoja tumpe muda angalau hata huu msimu upite labda tutamuona Pepe wa £67m.
 
Brendan Rodgers anamzd amery mbali sana
Hii niliwaza jana wakati nacheki game ya leicester, kwanini Arsenal hawakumchukua Rogers wakati alikuwa kwenye mipango toka Mzee Wemger hajaondoka.??
 
Kama shabiki Wa Arsenal mechi zifuatazo staki kuziangalia
1. Man city vs arsenal
2. Liverpool vs arsenal
3. Leicester vs arsenal
4. Southampton vs arsenal
5. Sheffield vs arsenal
6. Norwich vs arsenal
 
The positive is that Bellerin, Holding, and Tierney will probably start against Bournemouth and Laca will come back.
 
Mechi hii Arsenal amebebwa kwa kiwango kikubwa sana , Refa alitaka Arsenal washinde ila walizidiwa.
Hakika hata mimi naona Arsenal alibebwa kabisa na ile ilikuwa ni offside ya wazi wala hata alikustahili kuwa goli, na hao VAR operators watakuwa wana makengeza wanashindwaje kuiona offiside ya wazi kama hii.
IMG_20191001_003622.jpeg
 
OZIL SIJUI KAMKOSEA NINI

Emery to @SkyFootball on why he’s chosen to start Torreira: “He deserves it.”

On Ozil: “Not today. Today I decided on that first XI and that squad.”
 
Ratings

Leno 7

Chambers 7
Sokratis 6
Luiz 8
Kola 6

Torreira 6
Xhaka 6
Guendouzi 8.5 MOTM

Saka 8
Auba 8
Pepe 5.5

Ceballos 6

Decent cameos from Nelson and Willock
 
Hakika hata mimi naona Arsenal alibebwa kabisa na ile ilikuwa ni offside ya wazi wala hata alikustahili kuwa goli, na hao VAR operators watakuwa wana makengeza wanashindwaje kuiona offiside ya wazi kama hii. View attachment 1220182


Beki anapambana kufosi Piere awe offside dah kazi kweli kweli

Sema Asno ni vibonde kwa Man united
 
Mark Clattenburg:

"The decision to flag Aubameyang for offside was an incredibly poor one from assistant referee Scott Ledger, who was perfectly in line and perhaps lost concentration. Thankfully for Arsenal, he waited, meaning VAR could check and overrule the incorrect call."
IMG-20191001-WA0001.jpeg
 
Pepe - It’s not working at the minute but 7 games into a season isn’t enough time to decide someone is a flop. There is quality in this lad, we have to find a way to bring it out(Bellerin will help) and find a way to give him his confidence(open play goal may do it)
 
Back
Top Bottom