Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pole sana Chifu kwa kushabikia timu ya kishamba, toroka uje haraka pale Chelsea Mzee Baba kwa afya yako nzuri zaidi...
Hahahahha.. Kwamba nishabikie Chelsea acha utani basi mkuu.
10229084_1022357310223272eewrkv0xyaav7h7jpegjpeg4e5fded2419cb70285b745bd418a0972jpega72a6591a...jpeg
 
Xhaka anakaa sana kati na haoverlap sababu hiyo ndiyo majukumu ya Holding Midfield
Pamoja na kwamba hiyo ndio nafasi yake, lakini yampasa awe na flexibility hili kuendana na aina ya mpira wa wapinzani.

Man U ni timu inayotegemea sana kutengeneza nafasi kupitia pembeni na huu ndio utamaduni wa mpira wao.

si unaona hata midfielders wao wakipata mipira wanaipieleka pembeni, basi hakuna budi na sisi midfield yetu kutanua uwanja na inasaidia hata kwenye marking.
 
Back
Top Bottom