Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tunakwama wapi?
Mpaka sasa hivi hatueleweki ni mpira gani tunaoucheza au tunaouhitaji hasa.

Kuna muda tunacheza mpira wa kujiamini sana wa pasi fupi fupi halafu tunaishia kufanya makosa yanayotugharimu pamoja na kukosa nafasi za wazi.

Kuna muda tunacheza mpira wa pasi ndefu ndefu halafu mashambulizi yote tunayofanya yanakuwa butu yanaishia miguuni mwa maadui.

Kuna muda tunacheza mpira wa kujihami sana halafu tunampa kazi nzito goli kipa wetu.

Sasa kama timu yenyewe haina mfumo wowote iliyoweza kuu master na kuutegemea kupata matokeo, hapo kukwama hakukwepeki.

Tutaendelea kuwa hivi hivi tu watu wa kubahatisha bahatisha.
 
Saka ni zaidi ya Pepe
Sikweli, sijui kwann mnamsakama pepe

Ni mwalimu anashindwa kutengeneza mfumo aendane nao, pepe ana spid sana , hivo I lazima awekewe watu creative ,

Pepe - It’s not working at the minute but 7 games into a season isn’t enough time to decide someone is a flop. There is quality in this lad, we have to find a way to bring it out(Bellerin will help) and find a way to give him his confidence(open play goal may do it)
 
Nilisema huyu kocha anatufelisha sana

Angalia sub zake zakioumbavu karudia makosa Yale Yale ya Watford ,

Anawaingiza wale watoto wawili hata kupiga mashuti hawawez

Tushukuru tumekutana na timu mbovu
 
Arsenal top-assistants this season (all competitions):

Saka 3
Chambers 3
Ceballos 2
Maitland-Niles 2
Pepe 2
Aubameyang 1
Guendouzi 1
Kolasinac 1
Nelson 1
Bellerín 1

#afc
 
Sikweli, sijui kwann mnamsakama pepe

Ni mwalimu anashindwa kutengeneza mfumo aendane nao, pepe ana spid sana , hivo I lazima awekewe watu creative ,

Pepe - It’s not working at the minute but 7 games into a season isn’t enough time to decide someone is a flop. There is quality in this lad, we have to find a way to bring it out(Bellerin will help) and find a way to give him his confidence(open play goal may do it)
Kwa mechi alizocheza positives ni chache mno tofauti na dogo Saka ambaye kila akicheza kuna kila dalili ya kuwa potential
 
OZIL SIJUI KAMKOSEA NINI

Emery to @SkyFootball on why he’s chosen to start Torreira: “He deserves it.”

On Ozil: “Not today. Today I decided on that first XI and that squad.”
Unai ana ego na hii inagharimu kwanzia wachezaji mpaka timu nzima kwa ujumla.

Bodi isipoliangalia hili basi kuna siku tunajikuta tunamaliza msimu tuko nafasi ys 16 sababu ya utashi tu wa mtu mmoja.
 
Nilisema huyu kocha anatufelisha sana

Angalia sub zake zakioumbavu karudia makosa Yale Yale ya Watford ,

Anawaingiza wale watoto wawili hata kupiga mashuti hawawez

Tushukuru tumekutana na timu mbovu
Mkuu @AROON unai ni kero kubwa sana kwetu, hajui tu lakini point nyingi anatupotezea asee, hata msimu uliopita tulipoteza game za mwisho kumbe shida ni yeye tu.

Hivi mkuu kuna ugumu gani wa kumweka Xhaka benchi Lt11 aanze km DM,kwasababu Xhaka kwa Guendouz hawezi kufua dafu sasa hivi naona anamtafutia nafasi kwa namna yoyote ile.

Ozil alikaa benchi for Ramsey tulikubali sasa kaamia kwa Lt11,Na hata laca ajiandae unaweza shangaa Auba staika wa kati,Saka anakaa pembeni, Lacca benchi.
 
Yaani zile subs hata mimi sijamuelewa kabisa.

Sub za kufanya timu ikiwa imesha shinda wewe unafanya kipindi timu inatafuta matokeo.

Tushukuru tu tumekutana na mgonjwa zaidi yetu.
 
Unai Emery wewe ni Head coach sio km AW yeye alikua Manager, huo ndio utofauti, usijione wewe ni AW mpya. Madaraka ya kulevya yatakuondoa tu,Na hapo utapaacha km ulivyopakuta. shwain!
 
NICOLAS PEPE ....NICOLAS PEPE
Ngoja niendelee kujipa muda zaidi na zaidi I know Pepe very well......Niweke akiba ya maneno.
 
HAUNA MACHO ya kuona onside & offside
Kwamba ile illikuwa ni offside ama? Unataka kusemaje yaani?
IMG_20191001_003508.jpeg
 
Mkuu @AROON unai ni kero kubwa sana kwetu, hajui tu lakini point nyingi anatupotezea asee, hata msimu uliopita tulipoteza game za mwisho kumbe shida ni yeye tu.

Hivi mkuu kuna ugumu gani wa kumweka Xhaka benchi Lt11 aanze km DM,kwasababu Xhaka kwa Guendouz hawezi kufua dafu sasa hivi naona anamtafutia nafasi kwa namna yoyote ile.

Ozil alikaa benchi for Ramsey tulikubali sasa kaamia kwa Lt11,Na hata laca ajiandae unaweza shangaa Auba staika wa kati,Saka anakaa pembeni, Lacca benchi.
Huyu kocha hapana kwakweli

Leo karudia upumbavu alioufanya mech na Watford ,

Kama umegundu wakiwepo wale watoto wawili willock na Nelson ,kiungo kinapwaya ,katitaki panakuwa pana Ombwe

Sema tumekutana na timu mbovu

Anamkazania Xhaka kila game , anamchezesha lt11 out of position , Ozil kamuacha kisa bifu ,

Dah huyu unai Anatufelisha sana
IMG_20191001_005651.jpeg
 
Unai Emery wewe ni Head coach sio km AW yeye alikua Manager, huo ndio utofauti, usijione wewe ni AW mpya. Madaraka ya kulevya yatakuondoa tu,Na hapo utapaacha km ulivyopakuta. shwain!
Hakika huyu Unai uhuru alioukuta hapa umesha mlevya tayari, na athari zake zimeshaanza kuonekana.
 
Unai Emery wewe ni Head coach sio km AW yeye alikua Manager, huo ndio utofauti, usijione wewe ni AW mpya. Madaraka ya kulevya yatakuondoa tu,Na hapo utapaacha km ulivyopakuta. shwain!
Timu haijulikan inacheza mfumo gani ,dah yaan anabahatisha tu
 
Unai ana ego na hii inagharimu kwanzia wachezaji mpaka timu nzima kwa ujumla.

Bodi isipoliangalia hili basi kuna siku tunajikuta tunamaliza msimu tuko nafasi ys 16 sababu ya utashi tu wa mtu mmoja.
Kabisa mimi nachukia sana hiki kitu cha kocha kuwa na bifu na wachezaji,
Na hii inapelekea hata mifumo yake inakuwa haieleweki kwa sababu wachezaji wa kumsaidia kuimplement mifumo anawadharau wanakaa nje tu.
 
Beki anapambana kufosi Piere awe offside dah kazi kweli kweli

Sema Asno ni vibonde kwa Man united
Huwa inaniuma sana mkuu.

Man U akiwa vizuri uwezekano wa kumfunga Arsenal ni makubwa sana na mara nyingi huwa inakuwa hivyo.

Arsenal anaweza akawa vizuri halafu Man u mbovu lakini kupata matokeo mbele ya man u inakuwa ni kazi nzito kweli.

Hapo kwenye hiyo move Maguire anachekesha sana jinsi anavyoukimbia mpira wakati umeshapigwa kwa Aubameyang.
 
Back
Top Bottom