SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
ShenziHii mechi itaisha suluhu maana kila mtu anamwaga tambo zake hapa
Kocha unamchezesha Lt11 out of position ili Xhaka aanze Out of position. Unai anaharibu timu mwisho wa msimu aondolewe aletwe kocha anaejielewa.Hii draw imeniuma,acha nikale ila kocha kweli anazingua.
Inasikitisha sana kwakweliHii draw imeniuma,acha nikale ila kocha kweli anazingua.

Mechi hii Arsenal amebebwa kwa kiwango kikubwa sana , Refa alitaka Arsenal washinde ila walizidiwa.1.Liverpool 21 points
2. Manchester City 16 points
3. Leicester 14 points
4. Arsenal 12 points
5
6
7
8
9
10 Manchester United 9 points after 7 games.
Ujinga tu kupoteza points tatu kwa united mbovu hii1.Liverpool 21 points
2. Manchester City 16 points
3. Leicester 14 points
4. Arsenal 12 points
5
6
7
8
9
10 Manchester United 9 points after 7 games.
Galasa kabisa,yule muivory cost wa Cristal palace angetusaidiaKwa hiyo mkuu pepe tumepigwa au???![]()
Hakukuwa na mpira wowote leo zaidi ya mazoezi tu, kweli Man City na Liverpool wataendelea kusumbuana pekeyao epl hadi 2050...Hahahahha.. Kwamba nishabikie Chelsea acha utani basi mkuu. View attachment 1220161

Mi sijawahi kumuelewaSijawahi kuona kocha pumbavu kama unai
Lakin ww hapo OT ulikula 4 kavuNimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah...![]()
Nottice hicho ndiyo kiungo ambacho mashabiki wanakitaka. Kimewekwa, kinafanya hayo.Hakuna combination yeyote ya maana kwa Guendouz, Xhaka na Lt11..
Hakuna creativity kwa hawa watu.
Yaani hata mpira tunaocheza tuna ungaunga.Inasikitisha sana kwakweli