Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Somaaaaaaaaaaaaaaaaa
Screenshot_20190930-224702_All%20Goals.jpeg
 
Haya kila siku tutasema Xhaka akiwa ndani huwa hamna la maana haya hakuna creativity kabisa haya timu Mbovu inatufunga
 
Timu haieleweki inatengeza mashambulizi kupitia wapi, viungo or pembeni. Kama tunashindwa kuifunga Man hii mbovu kuliko sisi sijui..
Hamna cha gonga wala nn, tuna pelekwa mputempute ad bas
 
Back
Top Bottom