Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona sielewi tunachokicheza, ni kwamba tumekuja kuendeleza record ya kutokushinda old traford kwa kipindi kirefu au tumekuja kujaribu bahati?

M.Guendez anaenda sana mbele na Xhaka anakaa sana katikati anashindwa kutanua uwanja, mipira mingi ya maadui inapitia pembeni.
 
Unai bwana

Unampiga chini Ozil kwa ajili ya Bukayo Saka na kina Reiss madogo freshers from Academy?!!
 
Hatujafanya any necessary or threatening attempt. Kati na mbele ushirikiano haupo.

Let's hope kadi zao za njano zitamtoa mmoja wao nje.
 
Mbona sielewi tunachokicheza, ni kwamba tumekuja kuendeleza record ya kutokushinda old traford kwa kipindi kirefu au tumekuja kujaribu bahati?

M.Guendez anaenda sana mbele na Xhaka anakaa sana katikati anashindwa kutanua uwanja, mipira mingi ya maadui inapitia pembeni.
Xhaka anakaa sana kati na haoverlap sababu hiyo ndiyo majukumu ya Holding Midfield
 
Kikosi cha kisengee manina wap laca,wp ozil wap torreira aise mbona mnampa umaarufu nyumbu na yule mmasai wake?
Mkuu umemsikia alichoongea Van Persie kwenye uchambuzi half time? Au na wewe ni wa vibanda umiza..Angalia hii
Screenshot_20190930-225909_WhatsApp.jpeg
 
Yaani hata hii man united ya Masai kweli ndiyo arsenal tunashindwa kuifunga,inasikitisha sana kwakweli naangalia mechi basi tu

Ht wao 1-0
 
Pole sana Chifu kwa kushabikia timu ya kishamba, toroka uje haraka pale Chelsea Mzee Baba kwa afya yako nzuri zaidi...
Mbona sielewi tunachokicheza, ni kwamba tumekuja kuendeleza record ya kutokushinda old traford kwa kipindi kirefu au tumekuja kujaribu bahati?

M.Guendez anaenda sana mbele na Xhaka anakaa sana katikati anashindwa kutanua uwanja, mipira mingi ya maadui inapitia pembeni.
 
Hatujafanya any necessary or threatening attempt. Kati na mbele ushirikiano haupo.

Let's hope kadi zao za njano zitamtoa mmoja wao nje.
Hakuna combination yeyote ya maana kwa Guendouz, Xhaka na Lt11..

Hakuna creativity kwa hawa watu.
 
Yani mpira tunaocheza leo utafikiri tumetoka kushiba pilau la mchele wa kitumbo.
 
Ondoka kwangu wewe shetani, usinilete vishawishi nitende zambi muda uu.

Piga mbuzi haoooooooo
 
Mnao mtetea emery mnakaz ngumu kuliko waosha maiti wa mloganzila, ila mmechagua wenyewe kaz njema!
 
Back
Top Bottom