Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ata Luis atufai, lete coeman, Simeon au yule wa ajax, ata allegri sio mbaya ingawa si mkubali sana. Ila tungempata klopp daah maisha yangekua matamu sana hv hakuna namna ya kuwafanyia figisu liver watupe mashine hyo
Sawa kabisa, ila Klopp tutajutia....
 
Hahahahaha mashabiki wa asernal hawajui washike lipi kwa sasa
Tumechanganyikiwa, kocha kachanganyikiwa hajuwi ampange yupi na kwa formation gani!!! Tuko tuko tu....Suddenly the future is bleak....😡 🤬 🙁🤔
 
Ila naanza kuamini labda Unai kweli sio kocha kwa sababu angekuwa kocha asingeishauri management kumsajili beki kama Luiz
Beki ambaye kocha mwenzake tena asie na uzoefu amemuona uwezo wake umedrop yeye anakimbilia kumsaini huku akimpa sifa kede kede?
Tena kampa contract ya miaka miwili... Yaani nilibaki nimeshangaa tu
 
INABIDI LENO WAMPE OVER DUTY , ....

Bernd Leno made 8 saves in Arsenal’s 2-2 draw against Watford on Sunday, more than any other goalkeeper in a Premier League match this season. [WhoScored] #afc https://t.co/aQNKOy89sa
 
Tumecheza n Tots tukafanya 4 3 3, tukawa hot. Ile gemu ki niliwekeana hela na mtu Arsenal tunashinda huku tunaongozwa 1 bila.

Eti na Watford tukafanya 4 2 3 1. Tukaenda kukaba. Kisha sub zikawa kichekesho.

Kocha ana shida mahali
 
Mbwana Samatta atawasaidia
Hapo Maskaut wanamfatilia huyo dogo aliyepiga Hattrick

With Arsenal scouts in the game. Erling Braut Haland has just scored a Hat-Trick for Salzburg. 16 goals in 9 games. May I say, he is GENERATIONAL.
IMG_20190917_233130.jpeg
 
Hapo Maskaut wanamfatilia huyo dogo aliyepiga Hattrick

With Arsenal scouts in the game. Erling Braut Haland has just scored a Hat-Trick for Salzburg. 16 goals in 9 games. May I say, he is GENERATIONAL. View attachment 1210170
Alikutana na mabeki wabovu wa Genks. Hata Lipuli ina defense bora kuliko Genks. Kwenye ligi sasa hivi Genk ya 9 inafungwa tu kiholela
 
Alikutana na mabeki wabovu wa Genks. Hata Lipuli ina defense bora kuliko Genks. Kwenye ligi sasa hivi Genk ya 9 inafungwa tu kiholela
Mkuu hawa jamaa ni kweli wana beki mbovu lakini mtu anayejua anaonekana. Kiukweli huyu dogo anajua hata akutane na beki mzuri hataacha kukufunga
 
Kwa mfano leo Pepe kaharibu, angetolewa Pepe ulitaka aingie nani? Ni tofauti na timu kama Chelsea Anatoka Pulisic anaingia Willian, Pedro anaingia Odoi. Kante hayupo Kovacic anaperform at a good level, Mount anatoka Barkley anaingia. Tammy anatoka anaingia Batshuay.
kama walivyoperfom jana dhidi ya valencia
 
Arsenal scouts (as well as a lot of other clubs) were attending at the Benfica - RB Leipzig game.
IMG_20190918_085144.jpeg
 
Nimekutana na ndugu zangu huko kwa mtogole vichochoroni AROON na DullyJr wanatafuta dabo kiki wanywe wapoze machungu 🤣🤣🤣
aiseeeeeeeeeh ungejua kuwa mimi na wewe hatuchekani usingeyaandika haya na uzuri wake soka ni mchezo wa hadharani,matokeo ya leicester yasikutie upofu ukasahau kilichowakuta dhidi ya ya crystal palace mzee........hapa ndipo ninapoukubali ufundi wa MUNGU kwa kuweka kitu kinachoitwa SAHAU?
 
Alikutana na mabeki wabovu wa Genks. Hata Lipuli ina defense bora kuliko Genks. Kwenye ligi sasa hivi Genk ya 9 inafungwa tu kiholela
Uchawi ni nini?
Uchawi ni kupinga kila habari unayosikia inahusiana na Arsenal.


Kama alikutana na beki mbovu wewe inakuhusu nini, hela unatoa wewe?

Wabongo bhana!
 
NILISEMA JANA MASKAUTI WAMEENDA KUWAANGALIA HAWA WATOTO WAWILI

SZOBOSZLAI NA

HALAND



#AFC’s initial move for Dominik Szoboszlai in the summer was with a view to have him come to the club in 2020 after gaining experience with Salzburg. The Gunners are also keenly tracking Erling Håland. [@jamesbenge]
 
Back
Top Bottom