Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ngoja tulete kocha maana hujui unachoongea , kocha ameletewa DM , hamtumii anakomaa na xhaka kama DM wakati sio namba yake , hampend LT11 Na baadhi ya wachezaji

Kila mechi anakuja na mfumo mpya hadi wachezaji wamechukia

Kwahiyo kwa uongoz wa Arsenal Hana maisha marefu

Sisi wahafidhina tunaomba apoteze mech ijayo Joto lipande atimuliwe

View attachment 1209356
Aroon nataka nikuulize. Magoli yote mliyofungwa chanzo ni kocha? Siyo uzembe wa mabeki ndioumepelekea yale kutokea.
 
Usajiri ni mzuri ila mwalimu kiburi ,kila namba kaletewa watu , ila hawatumii anakazana na vitoto
Historia ya huyu kocha mnaijua lakini?
Kwa umri wa miaka 47 ana makombe 9
  1. PSG 6
  2. Sevilla 3 - Europa League
Style yake au falsafa yake kama ya Lampard ni kushambulia kwa hiyo kuimarisha frontline ni sehemu ya falsafa yake
Hao akina Pepe na Auba wanatakiwa kufunga magoli mengi yanayozidi mtakayofungwa kitu ambacho sidhani kama Auba mwenyewe ataweza, Pepe kwa EPL hamna kitu pale. alikuwa anafanya vizuri kwenye ile ligi ya wakulima wa tumbaku.

Hao wachezaji walizoea kubambwa bambwa na Wenga hata akija Alegri au Luis Enrique bado watakosana naye kwa sababu hatakuwepo kocha wa kubembeleza kama Wenga au sio mumrudishe Wenga bado hana timu
 
Kaletwa watu ndio lakini hawana capabilities za EPL. Kocha mzuri tatizo ni wachezaji wenyewe, walio na capabilities ni wachache
Kocha ni mbovu acha ubishi, tunaona makocha wangapi wanawakuza wachezaji wa kawaida wanakuwa wazuri, unafikiri kila mchezaji anayecheza l'pool ni world class? lakini mbona wanapata matokea safi tu whatever it takes.
 
Ata Luis atufai, lete coeman, Simeon au yule wa ajax, ata allegri sio mbaya ingawa si mkubali sana. Ila tungempata klopp daah maisha yangekua matamu sana hv hakuna namna ya kuwafanyia figisu liver watupe mashine hyo
BODI HAIWEZI KUVUMILIA UJINGA , TUMEMPA KILA KITU HUYU MBWA UNAI....

*Luis Enrique* looks to join the race and might be the actual replacement for Emery via@skysports.
 
Ata Luis atufai, lete coeman, Simeon au yule wa ajax, ata allegri sio mbaya ingawa si mkubali sana. Ila tungempata klopp daah maisha yangekua matamu sana hv hakuna namna ya kuwafanyia figisu liver watupe mashine hyo
Luis is far better than emery, mtu ambaye mwaka wa pili huu haeleweki pattern yake ni ipi, Enrique hii timu ingekuwa inacheza mpira safi sana kwa muda huo.Makocha wote hapo juu ni wazuri kuliko Emery
 
Kocha ndo chizi kwa kushindwa kupanga kikosi makin, luiz ameshaonyesha madhaifu mengi bado una mn'gang'ania unatufuta nn na chambers yuko benchi, unacheza mechi bila DM na dm unae bench unataka n?
Aroon nataka nikuulize. Magoli yote mliyofungwa chanzo ni kocha? Siyo uzembe wa mabeki ndioumepelekea yale kutokea.
 
Tuliwatahadharisha lakini kwamba Luiz kazeeka hana tena speed, ataendelea kusababisha penalty na magoli mpaka mumuweke bench. Hizo kauli za kutia moyo sawa na huu usemi wa Biblia

Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu
Matayo 26:41
Nia, akili na moyo wa Luiz kweli anataka ushindi lakini mwili wake hauwezi kutimiza haja ya moyo wake tena kwa sababu ya umri
 
Aroon nataka nikuulize. Magoli yote mliyofungwa chanzo ni kocha? Siyo uzembe wa mabeki ndioumepelekea yale kutokea.
Mfano ile ya juzi, pasi aliyokuwa anapewa Genduzi katikati ya opponents ni Kocha kamuambia huyo Sokratis atoe pasi ya hovyo hivyo?
Sawa Luiz unaweza sema poor team formation, Luiz alikuwa mzuri huku Chelsea akiwa na DM mzuri kama Kante kitu ambacho Arsenal hawana
 
Unajua nyie tumeshawazoea unazi mmetanguliza mbele, hata kama msingekuwa na kante mngekuja na ngonjera kwamba mlikuwa na Hazard hivyo ilimfanya Luiz acheze kiurahisi.

Hamnaga fact mnayoongea zaidi ya kuona kila mchezaji mzuri ni wa chelsea, Nina uhakika Tammy akifunga next match mtasema ni bora kuliko Salah, Auba na Aguero. Haahaha!

Tunawajua vizuri.
 
Leno: "Everybody was angry & disappointed after [the game]. Everybody was emotional, very mad & crazy. But that is normal. The manager is a very positive guy. He said ‘calm down & then on Tuesday we analyse this game & then on Thursday we have another game’" #Arsenal https://t.co/hpCAsvBZau
 
Aroon nataka nikuulize. Magoli yote mliyofungwa chanzo ni kocha? Siyo uzembe wa mabeki ndioumepelekea yale kutokea.
Mabeki utawalaumu NINI ?Mimi nitakuwa MTU wa mwisho kulaumu wachezaji

Mwalimu anawafundisha mpira waanzie nyuma wakati hana watu wanaojua kuanzisha mipira nyuma zaid ya Leno na luiz tu.

Hivyo mwalimu hakwepi lawama hii, yeye ndio anawalazimisha wachezaji waanzishie mipira kwa kipa.

Halafu zilishafanyika blunder kama 3 ,bado hakuchukua Action yoyote .

Kifupi niliwaambia Wana arsenal wenzangu humu, Yule sio kocha

Anasomeka kirahisi sana

Mechi tulishaikamata

Anamtoa CEBALLOS NA OZIL ,anawaingiza watoto kina willock na nelson wanaanguka tu,

Anawaingiza hao watoto mbele ya Deoucore na Etienne coupe ,

Wachezaji tayari wameshaanza kulalamika kocha hawamuelewi ,hana tactic

Uzuri mkataba wake unaisha mwisho wa msimu ,.
 
Kaletwa watu ndio lakini hawana capabilities za EPL. Kocha mzuri tatizo ni wachezaji wenyewe, walio na capabilities ni wachache
Sio kweli mkuu ana wachezaji wazuri tu

Kwanza anafeli hana mfumo ,kila mech anakuja na formation mpya ,

Mpaka sasa tumecheza mechi 5 kila mech INA mfumo wake .

Pia hampendi lt11 ,ozil ,

Anakomaa na mwanae gunduz

NDIO MAANA MIMI NILIWAAMBIA WENZANGU HUMU , emery sio kocha nikapingwa ,

Mechi na Liverpool ndio alithibitisha sio kocha

Mech za away hata iwe na nan ,anaziogopa

Mech za home BADO anaziotea

Ni Auba ndio anatubeba
 
Historia ya huyu kocha mnaijua lakini?
Kwa umri wa miaka 47 ana makombe 9
  1. PSG 6
  2. Sevilla 3 - Europa League
Style yake au falsafa yake kama ya Lampard ni kushambulia kwa hiyo kuimarisha frontline ni sehemu ya falsafa yake
Hao akina Pepe na Auba wanatakiwa kufunga magoli mengi yanayozidi mtakayofungwa kitu ambacho sidhani kama Auba mwenyewe ataweza, Pepe kwa EPL hamna kitu pale. alikuwa anafanya vizuri kwenye ile ligi ya wakulima wa tumbaku.

Hao wachezaji walizoea kubambwa bambwa na Wenga hata akija Alegri au Luis Enrique bado watakosana naye kwa sababu hatakuwepo kocha wa kubembeleza kama Wenga au sio mumrudishe Wenga bado hana timu
Lembu emery hana falsafa yoyote

U dhaifu wa emery hajui kusuka defence,

Hajui kufanya sub

Mpaka sasa hana kikosi cha kwanza

Lampard hadi sasa falsafa yake inaonekana

Arsenal tunajiuliza huyu kocha anafalsafa gani

Ni muoga mech za away hata iwe ndogo

HUYU KOCHA HUMJUI VZR

PEPE SIO kama unavyosema ,ni mech ya 5 kaanza mech 3 ,

Kocha hawez kumtumia ,maana pepe ana mbio sana , kocha muda mwingi anawaza kuzuia ,

NDIO MAANA OZIL ALISEMA UNAI SIO KOCHA ,akamchukia

IMG-20190916-WA0027.jpeg
 
Unai mhuni Sana,
Juzi na Watford amefanya unnecessary Sub,tukawekwa.
Hana game plan huyu bwana,na Mlm akikwama hili uwezo Wako ni Mdogo Sana zaidi abebwe na Wachezaji wenyewe
 
Back
Top Bottom