Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emery ana maisha mafupi sana Arsenal

Been told there was a bust up in the dressing room after the draw at Watford between the manager and a senior member of the team. Trying to find out who. #Arsenal #AFC #RT
 
Tupigwe alhamis ,na mechi na Astonvilla Mabango yanyanyuliwe

Next match asiwepo
IMG-20190917-WA0025.jpeg
 
According to the Athletic, Arsenal players are growing frustrated by Unai Emery's repetitive training methods.

ANATAKA KUIFANYA ARSENAL KAMA SEVILLA
IMG_20190917_154450.jpeg
 
Alijifanyaga ki mbelembele kujitangaza kua mrithi wa wenger ata kabla ya waajr wake, as if ana uhakika na kazi yake kumbe hamna kitu n afadhali tungempata ronald koeman, tucheze pira la kiuholanzi, tujue moja
Kweli hata pengine Vieira au Arteta wangefanya yao.
 
The way Emery manages is perfect for a team that fights for 6th/7th. A team that will cause a big team issues but struggles to beat teams lower.

But when you manage a team like PSG or Arsenal, it’s not the same. That’s why Seville perfect for him, they had no expectations.
 
Mou atapewa mahitaji yake anayotaka

Sasa hivi klabu inatumia hela

Mou na Alegri nawaelewa sana .
Mou tunamhitaji zaidi ya anavyotuhitaji, hanaga ujinga wa kuvumilia upumbafu, kwa MOU ni bora Aubameyang acheze beki kuliko sokratis kwa makosa yale anayofanya.
 
Morinyo akija ARSENAL mpo tayari kumwaga pesa za usajili? Yeye anadeal kusajili mastar wa dunia. Mko tayari kumpa pesa ya kumnunua mbappe, kolabaly, eriksen, casamiro?
Mou ataongezewa mahitaji ya wachezaji sehemu chache sana ,

Juzi tu amesema yeye anaweza kuwatumia vzr kina pepe ,auba na lacazette
Mourinho has been out of work since leaving Manchester United in December last year. He has been working as a pundit for a number of different TV companies, most recently working with Sky Sports.

He was in the studio for the North London Derby with Tottenham a little more than two weeks ago and he suggested then a number of different ways that he would set up this current Arsenal team if he was manager, including how he would use Nicolas Pepe, Alexandre Lacazette and Pierre-Emerick Aubameyang as a front three.
 
Alijifanyaga ki mbelembele kujitangaza kua mrithi wa wenger ata kabla ya waajr wake, as if ana uhakika na kazi yake kumbe hamna kitu n afadhali tungempata ronald koeman, tucheze pira la kiuholanzi, tujue moja
Hii comment imenifurahisha sana mkuu, Haahahaah! eti alijifanya kimbelembele kumbe hakuna kitu.
 
Mou tunamhitaji zaidi ya anavyotuhitaji, hanaga ujinga wa kuvumilia upumbafu, kwa MOU ni bora Aubameyang acheze beki kuliko sokratis kwa makosa yale anayofanya.
Inabid mech ijayo apigwe , ili Wajiandae kumpa kaz Mou,

Japokuwa mwisho wa msimu iwapo atabak Emery hawez kuongezewa mkataba
 
Inabid mech ijayo apigwe , ili Wajiandae kumpa kaz Mou,

Japokuwa mwisho wa msimu iwapo atabak Emery hawez kuongezewa mkataba
Kitu kizuri ni kwamba Mou is a perfect man for arsenal, kwa sababu Bodi inamskiliza sana kocha anataka nini.Huyu Unai na support yote aliyopewa bado anasumbuka kwa timu kama Watford yenye kocha mgeni, very stupid!
 
Inabid mech ijayo apigwe , ili Wajiandae kumpa kaz Mou,

Japokuwa mwisho wa msimu iwapo atabak Emery hawez kuongezewa mkataba
Mourinho ni kocha wa miaka miwili then anasepa. Arsenal inahitaji manager atakaekaa misimu 4 na kuendelea huku timu ikiwa kileleni.. Kwangu mimi Allegri ni chaguo sahihi zaidi kwa Arsenal. Mourinho atatupa ubingwa msimu mmoja then anaseps huku akituacha tunahangaika kama Man u.
 
Mou tunamhitaji zaidi ya anavyotuhitaji, hanaga ujinga wa kuvumilia upumbafu, kwa MOU ni bora Aubameyang acheze beki kuliko sokratis kwa makosa yale anayofanya.
Yaani huyo beki ni kamasi kabisa.
 
IPO siku utaniambia pale hakuna kocha ,wachezaji gan sasa aletewe

Soon ataletwa mwalimu mpya ,

Emery ana madhaifu mengi sana

Hana falsafa yoyote

Anafundisha mpira mbovu ,

U dhaifu wake mkubwa Hajui kusuka defence

Akiwa PSG anaongoza 4-0 ,akaenda camp nou akala 6
Naye Verde ni kama Unai, akiwa Camp nou kufunga 3-0 alipokuja Anfield akala 4-0
 
Ila naanza kuamini labda Unai kweli sio kocha kwa sababu angekuwa kocha asingeishauri management kumsajili beki kama Luiz
Beki ambaye kocha mwenzake tena asie na uzoefu amemuona uwezo wake umedrop yeye anakimbilia kumsaini huku akimpa sifa kede kede?
 
Frankly speaking Luiz career era has come to an end. Luiz cannot cop with younger strikers or attackers, in terms of speed, high balls, he will end up conceding penalties and goals. Let wait and see.
The best way of using Luiz is as an attacking MF and not a DM or defender, very risky
 
Za chini ya kapet emery kapewa gem mbili akiharibu out.na kuna hawa wanaangaliwa kati yao mmoja.anakuja

Arteta
Allegri
Morinho
Enrique

HIVO TUZIDISHENI MAOMBI APIGWE ALHAMIS JOTO LIFIKIE JUU
 
Kuna umuhimu mkubwa wa kupigwa mech ya alhamis

Aliyemleta emery ni Gazid ,ni mtu wa kufeli tu, sasa hivi yupo Ac Milan , anaiharibu tu

IMG-20190917-WA0032.jpeg
 
Back
Top Bottom