Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Mkuu mmeshinda ngapi?*Mesut Ozil amerudi kikosini, Ceballos nae kaanza. *Hatujawai kupoteza mchezo wowote dhidi ya Watford ambao Mesut Ozil alianza.
#coyg![]()
#ArsenalBongo#EPL
Mkuu mmeshinda ngapi?*Mesut Ozil amerudi kikosini, Ceballos nae kaanza. *Hatujawai kupoteza mchezo wowote dhidi ya Watford ambao Mesut Ozil alianza.
#coyg![]()
#ArsenalBongo#EPL
Huyu Unai anachokitafuta atakipata. Huwezi kufanya sub za kipumbavu namna hii ukategemea kupata hata sare.
Hii sare ya leo, Mungu alikua upande wetu. Hakuna cha maana tulichofanya kipindi cha pili. Hivi sisi ni wa kuzidiwa na Watford kweli!!!.
Hahahaha wame draw mkuu hawajakuleti dauniWe will be tied with City at 3rd place should we win today. Please do not let us down Arsenal



Tupe matokeo yote mkuu..Arsenal 2 nil up
Umefika Brother hahahahahahahahahTupe matokeo yote mkuu..
Mkuu unajitoa ufahamu au ndio ushabiki?Ulitaka aweke wachezaji wapi? Kwani nyie Arsenal mna wachezaji?
HahahahahahahahahahahaOmbeni mpira uishe tu mkotabani
Mkuu inawezekana unai akawa kocha mzuri ila kwa sasa Arsenal hatumuitaji tactic zake zimefeli.unai kazingua sanaa yan hii mechi attempts za watford ni 30+ arsenal 8 ukija kuangalia niles position kazingua kupitiliza kiasi kwamba mipira yote inatokea upande wake.ukija kuangalia sub alizofanya unai ni majanga .kati na mbele hakuna kitu.utarajie nini sasa?! unai kaaribu philosophy za arsenal kabisaa
Hahahaha tunaeka kambi wiki nzima apa ..hii arsenal yetu tunaipenda sanaSasahivi ninahakika Ollachuga Oc anajiunga na Bando la kufa Mtu aibukie hapa
HahahaaaaMPira hautaki maneno.....
Yule luiz n mustafi aliyechangamka....🙂
Mkuu unajitoa ufahamu au ndio ushabiki?
Arsenal tuna tatizo la beki tu hilo hata mtoto wa kindergarten analifahamu ila idara nyingine tupo vizuri.
Kitu cha kushangaza kocha hadi leo hajui formation ya kucheza na hana uwezo wa kupanga timu na kufanya sub.
Kifupi kocha hajui cha kufanya.
Huyu kocha choko anapenda kuwapanga wazee wakuchomoa betri xhakaYani Luiz bana... kwa kuchomoaga betri![]()
Mmeweka kambiKadri muda unazidi kwenda mafuta yanazidi kujitenga na maji