Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kaharibu falsafa ya klabuUlikua na spirit gan na timu?
Ni kocha mwenye uwezo mdogo sana
Kaharibu falsafa ya klabuUlikua na spirit gan na timu?
Kama ni ivyo mbona Arsenal ndio imeharibu mara nyingi zaidi ya Chelsea. Mnakumbuka niliwaambia nyie furaha yenu ni ya muda mfupi mkawa wabishi sana. Cheki sasa ivi mnavyohangaikaSpirit ya kushangilia chelsea inapoharibu, ila huyu jamaa ananifanya nakuwa mnyonge kwa sababu kwangu panaungua pia.
Tunarud kwenye reli mapema sana ,uongoz wetu upo makini , ngoja Leo apigwe uone kama October tutakuwa naeKama ni ivyo mbona Arsenal ndio imeharibu mara nyingi zaidi ya Chelsea. Mnakumbuka niliwaambia nyie furaha yenu ni ya muda mfupi mkawa wabishi sana. Cheki sasa ivi mnavyohangaika



Itapendeza wakitupiga 3-0timu ipo nafasi ya sita kwenye ligi ya ujerumani, won2 lost2
Aondoke tu kwani nani anamtaka!Tunarud kwenye reli mapema sana ,uongoz wetu upo makini , ngoja Leo apigwe uone kama October tutakuwa nae
Hii siyo Arsenal niijuayoTunarud kwenye reli mapema sana ,uongoz wetu upo makini , ngoja Leo apigwe uone kama October tutakuwa nae
Kajifanya kasahau kwa ushind wa goli moja weekend iliopitaaiseeeeeeeeeh ungejua kuwa mimi na wewe hatuchekani usingeyaandika haya na uzuri wake soka ni mchezo wa hadharani,matokeo ya leicester yasikutie upofu ukasahau kilichowakuta dhidi ya ya crystal palace mzee........hapa ndipo ninapoukubali ufundi wa MUNGU kwa kuweka kitu kinachoitwa SAHAU?
GOOD NEWS
Gunners boss Unai Emery is on the merge of leaving Arsenal on or before December if he doesn't come out with something boastful in the remaining half of the season.
reports via @skysports says the Arsenal board have closely tipped ex United boss *Jose Mourinho*, Crotians manager *Zlatko Dalic*, former Newcastles boss *Rafa Benitez*, *Claudio Ranieri*,ex juventus manager *Massimiliano Allegri*, or current Aletico madrid manager *Diego Simeon*.