Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

@AARON unanifurahisha sana, mimi mwenyewe namchukia Unai toka tushindwe kufuzu Uefa kizembe last season na final ya BAKU.
Uzuri kwasasa hatuwez kuwa kundi la wavumilivu, tunaingia kwenye kundi la kina Chelsea LA kutimua timua makocha wasio na uwezo

MECHI NA LIVERPOOL Ndio nilithibitisha maneno ya Ozil kuwa emery sio kocha

IMG-20190917-WA0014.jpeg
 
Mbona kila predicted line up za mashabiki wa Arsenal Luiz yupo?
Hapo ndo mjue hamna wachezaji.
Kocha ndo chizi kwa kushindwa kupanga kikosi makin, luiz ameshaonyesha madhaifu mengi bado una mn'gang'ania unatufuta nn na chambers yuko benchi, unacheza mechi bila DM na dm unae bench unataka n?
 
Wenger ndo mtu sahihi kwa Arsenal sababu timu haina wachezaji wa maana.
Wenger hakupewa hela lkn timu ilipambana

Huyu kapewa wachezaji bado hawez kuwatumia

Hawa wachezaji waliopo sasa angepewa Wenger tulikuwa tunapambana na kina Liverpool na city
 
Kwani ni uongo mkuu kwamba Arsenal mna wachezaji wa mafungu?
Unajua nyie tumeshawazoea unazi mmetanguliza mbele, hata kama msingekuwa na kante mngekuja na ngonjera kwamba mlikuwa na Hazard hivyo ilimfanya Luiz acheze kiurahisi.

Hamnaga fact mnayoongea zaidi ya kuona kila mchezaji mzuri ni wa chelsea, Nina uhakika Tammy akifunga next match mtasema ni bora kuliko Salah, Auba na Aguero. Haahaha!

Tunawajua vizuri.
 
Pia Lampard anawakuza vijana wadogo. Au uongo mkuu?
Kitu cha kwanza anachofeli emery ,hana tactic wala mfumo

Lampard mpira unaonekana , na ana mfumo tayari ,

Ndio maana alipopigwa 4-0 na man u bado watu waliona ana mpira na umeonekana

Lampard kamuacha mbali sana emery .

Kama Chelsea wakimvumilia lampard misimu mitatu bas atakuwa kundi LA makocha bora
 
Hata Klopp kawanunua Alison, VVD, Salah, Mane na Fabinho. Hivi Arsenal ina wachezaji wenye viwango hata nusu ya hao niliotaja hapo Arsenal?
Tatizo ni kocha sio wachezaji uwe unaelewa

Kama hela msimu zimetumika na January zitatumika

Kocha ana uwezo mdogo ,labda humjui emery au unaongea kishabiki

Kocha amepewa Leno,luiz, ozil,pepe,laca,auba ,ceballos, lt11 hawez kuwatumia ,

Hana falsafa

Hana kikosi cha kwanza

Hana mfumo unaomtambulisha

Mech 5 mifumo mitano5

Hajui kufanya sub

IMG-20190917-WA0014.jpeg
 
Wenger hakupewa hela lkn timu ilipambana

Huyu kapewa wachezaji bado hawez kuwatumia

Hawa wachezaji waliopo sasa angepewa Wenger tulikuwa tunapambana na kina Liverpool na city
Mkuu huyu wenger mjinga kabisa usimsifie kwa sababu hayupo arsenal. Wenger alikuwa anaweka wachezaji bench kwa kusubiria big matches. Wenger alikuwa hafanyi sub mpaka dakika ya 75 hata kama mchezaji anaharibu vipi Uni nae ni mpumbavu wa mwisho kabisa. Nahisi ana chuki na ozil, torreira na lazazette. Hawa wachezaji wazuri lakini hawapendi.
 
Wenger angepewa hii timu sasa hivi tungekuwa tunapambana na Liverpool na city

Wenger hakupewa sapoti ya kifedha na bodi ,

Huu uongoz mpya ,Wenger angeaumbua sana

Wakati anaondoka alisema Arsenal INA tatizo la DM , akaletwa lt11 ili xhaka akacheze 8.

cha ajabu emery anamchezesha Xhaka DM ,na lt11 hamtaki hata kumsikia ,

Lt11 anachezeshwa Box to box MD tena akitokea sub.

Yote ili gunduz acheze

Mechi 5 kashatumia mifumo mitano hadi sasa

Wachezaji hawaelewi wacheze vipi

Hana wachezaji wa kuanzisha mipira nyuma , anawalazimisha waanzishie nyuma .
Huyu mzee akirudi kwangu itapendeza sana
 
Mabeki wanacheza kwa pattern aliyoiweka kocha, hawawezi kufanya tofauti na maelekezo.
Endelezeni ubishi timu lenu bovuuu..
Kocha ni mbovu acha ubishi, tunaona makocha wangapi wanawakuza wachezaji wa kawaida wanakuwa wazuri, unafikiri kila mchezaji anayecheza l'pool ni world class? lakini mbona wanapata matokea safi tu whatever it takes.
 
NAWAOMBA ARSENAL FANS MTULIE ,

Lisemwalo lipo na kama halipo laja....unai ana siku kadhaaa...wale kina Raul hawavumiliii ujinga ndo maana wakamuwekea kipengele cha kukatisha mkataba.

ALIPEWA MKATABA WA MIAKA MIWILI AMBAO UNAISHA MWISHON MWA MSIMU HUU

kwa upumbavu anaoufanya , Ndio maana hamsikii hata fununu za kuongezewa Wiki 1 kwenye mkataba wake.

KWENYE MKATABA WAKE ALIWEKEWA KIPENGERE CHA KUVUNJIWA MKATABA MUDA WOWOTE

ANA MKATABA WA £6m kwa mwaka ,

Hivo akifukuzwa Fidia yake ni ndogoView attachment 1209745
Huyu kicha mpumbavu sana. Timu inayopata ushindi ndio anaibadilisha.
 
Mfano ile ya juzi, pasi aliyokuwa anapewa Genduzi katikati ya opponents ni Kocha kamuambia huyo Sokratis atoe pasi ya hovyo hivyo?
Sawa Luiz unaweza sema poor team formation, Luiz alikuwa mzuri huku Chelsea akiwa na DM mzuri kama Kante kitu ambacho Arsenal hawana
Si ndio nawaambia hawa. Eti pattern ya kocha mwenyewe ndio kawaambia wacheze vile.
 
Historia ya huyu kocha mnaijua lakini?
Kwa umri wa miaka 47 ana makombe 9
  1. PSG 6
  2. Sevilla 3 - Europa League
Style yake au falsafa yake kama ya Lampard ni kushambulia kwa hiyo kuimarisha frontline ni sehemu ya falsafa yake
Hao akina Pepe na Auba wanatakiwa kufunga magoli mengi yanayozidi mtakayofungwa kitu ambacho sidhani kama Auba mwenyewe ataweza, Pepe kwa EPL hamna kitu pale. alikuwa anafanya vizuri kwenye ile ligi ya wakulima wa tumbaku.

Hao wachezaji walizoea kubambwa bambwa na Wenga hata akija Alegri au Luis Enrique bado watakosana naye kwa sababu hatakuwepo kocha wa kubembeleza kama Wenga au sio mumrudishe Wenga bado hana timu
"Kwenye ligi ya Wakulima wa tumbaku "
 
Mpaka Sasa Pepe anaongoza kwa kukokota mpira kwa Mafanikio Kuliko Yeyote Katika Ligi ya EPL

ikumbukwe Kuwa Kukokota Huku Hufanywa ili Kupanua Wigo wa Kutengeneza Nafasi za Kufunga ama Kufunga au Kurahisisha Flow ya Team Kuelekea Mbele..

Bado Mwalimu Hajatengeneza Mazingira Mazuri yq Uelewano Pale Mbele Baina ya Pepe na Kina Auba na Lacca..

Sitegemei Zifike Game 10 Huyu jamaa Hajafungua Accout yake yq Magoli na kuongeza Assist angalau hata 4 ili Haya Anayofanya Yawe ya Maana Zaidi Kwa Team na Yeye Binafsi..

Mimi ni Mmojawapo Ya Mashabiki Wakubwa Sana wa Nicolas Pepe na Naamini Ana Uwezo Tena Mkubwa Sanaa..Muda Utatuambia Mengi na Mengineyo..

Ilimchukua Thiery henry mech 10 kupata goli la kwanza
FB_IMG_1568722175467.jpeg
 
Mtamlaumu kocha ila ukweli ARSENAL inatakiwa ishushe injini. Wachezaji wengi hawana viwango vikubwa kama mnavyowapamba.

Nilishauliza wachezaji wa Arsenal ukiwapeleka Man city au liverpool wangapi wataingia 1st Eleven?

Binafsi maoni yangu ukimuondoa Kipa, lacazette, Aub, wengine wanaobaki ni wachezaji wa kawaida sana ila wamechangamka, mbwembwe nyingi kuficha madhaifu yao

Kubalini timu bado inaendelea kujengwa kuingiza wachezaji wenye uwezo mkubwa baada ya miaka kadhaa itakuwa ya ushindani.
IPO siku utaniambia pale hakuna kocha ,wachezaji gan sasa aletewe

Soon ataletwa mwalimu mpya ,

Emery ana madhaifu mengi sana

Hana falsafa yoyote

Anafundisha mpira mbovu ,

U dhaifu wake mkubwa Hajui kusuka defence

Akiwa PSG anaongoza 4-0 ,akaenda camp nou akala 6
 
KABLA ZAHA HAJAJA ,INABID EMERY ASIWEPO....

Darren Bent on Zaha:

"He handed a transfer request in now, whether that’s a transfer request in because he wanted to go to Arsenal – he’s an Arsenal fan – so I’m pretty sure that he handed the request in wanting to go to Arsenal."
 
Back
Top Bottom