Tuangalie Utd v Spuds nani atadondosha pointi, leo Chelski wameshinda kingekewa.man city kunawaka moto huko.
man city kunawaka moto huko.
Mkuu kwa tactics za W/ham leo ilikuwa ni vigumu sana kuwafunga, walikuja kudifendi tu, mwisho wa siku ushindi ni ushindi, pointi 3 zilikuwa muhimu ili kupunguza gap na kotomuachia mbali ChelskiDuh kabao kamoja tu.
Ni mmoja wa wa shabiki wa washika bunduki . Kipa wa Westham ana mchango wake kwa haya matokeo nadhani zingekuwa kama goli kama 4.
Fabianski Fomu aliyonayo iko juu ya Almunia kwa sasa kwa hiyo uko sawa kabisaAlmunia aendelee kuumwa kwa mda au mnasemaje wakuu? lol
Huyu na tumuuze tu January, sijui QPR wanahitaji nyanda? Fabianski na yule dogo mwengine wa ki-polish ndio No.1 na 2 kwa sasa.Almunia aendelee kuumwa kwa mda au mnasemaje wakuu? lol
Washalala Man City...ngoja tumsubilie mzee Man U
Football is about quality and entertainment, kuna survey ilitokea kwa wapenzi wa vilabu vyote kwenye EPL na matokeo ni kwamba wapenzi wengi hata wale wa timu pinzani wako radhi kutoa pauni zao kuangalia Arsenal ikicheza kuliko timu nyengine yoyote ile Uingereza. Mechi zote Emirates ni full house, waiting list kwenye season ticket ni miaka 5 na kuendelea. There go your answer.Hivi washabiki wenzangu wa the gunners Why do u like or support Asernal ?
Hivi washabiki wenzangu wa the gunners Why do u like or support Asernal ?
Mkuu Chamak anajituma sana na anasaidia timu, ingawa leo alikuwa kimya mno sababu service kwenye box ilikuwa hakuna, Bendtner ni good finisher ila ni mvivu kidogo na hajitumi sana.at least we can sit back and relax
ila binafsi ningependa chamakh awe relegated to the bench na bendtner aanze
Football is about quality and entertainment, kuna survey ilitokea kwa wapenzi wa vilabu vyote kwenye EPL na matokeo ni kwamba wapenzi wengi hata wale wa timu pinzani wako radhi kutoa pauni zao kuangalia Arsenal ikicheza kuliko timu nyengine yoyote ile Uingereza. Mechi zote Emirates ni full house, waiting list kwenye season ticket ni miaka 5 na kuendelea. There go your answer.
Nimecheka swali hili....mkuu Arsenal ni timu inayocheza mpira wa akili, mpira unapouangalia unajisikia raha sana. umecheki kama leo, ilikuwa ni heeee heeeee heeeee heeeee heeeee heeeeee heeeeee heeeee...............Umenipata hapo! Ina vijana, na inakuza sana vipaji, asilimia kubwa asernal ina kuza vipaji, achilia mbali akina Arshiv, chamak,,,,,,wengine wengi wamekuzwa.......
Na wewe tuambie basi, why Arsenal and not team X?
Hivi washabiki wenzangu wa the gunners Why do u like or support Asernal ?
"jogo bonito"
Duh ndo mdudu gani huyo kocha au kifaransa hicho"jogo bonito"
Duh ndo mdudu gani huyo kocha au kifaransa hicho
Hata mimi ndio naelimika leo,nimewahi kusikia hii term ila nilikuwa sijui maana yake , Kilatino hakipandi ila naelewa neno bonita/bonito lina maanisha beautiful tokea enzi zile nimesikia nyimbo ya Maddona "La isla Bonita" = Beatiful Island.Ngoja ni google, nikishindwa nakuuliza maana ndiyo naisikia leo, au kweli anaifahamu!!