"In Mendoza drinking wine & watching the game. Argentinean commentary is hilarious... The commentator is singing "el gol, por el Arsenal, el gol, por el Arsenal" during the replay. Almost as good as his "o-o-ooooh, o-o-ooooh" for the first."
Huu ugonjwa bmkuu sijajua namna wa kuuondoa!wachezaji wetu wenger kawaroga pale mbele ya goli na mafundisho yake.
yani tunataka kutembea na mpira mpaka ndani ya nyavu.
safi sana arsenal...hii weekend imekuwa nzuri sana kwangu sima kashinda Arsenal kashinda...
Kutokana na mechi ya leo ni dhahiri kwamba Cesc hana bei kwenye hii timu, kuanzia uongozi ndani ya pitch, pasi, motisha nk.
Nasri ni most improved player msimu huu, Chamakh nae naona ameanza kufiti vema kwenye sistimu yetu, I can't wait for RVP come back! Huku mbele Chamakh - RVP itakuwa ni karamu ya magoli mechi hadi mechi.
Watani hongereni sana kwa kuwafunga hawa Citeh at least leo tutalala kwa amani hapa mjini.
Hawa marefa wapumbavu sana nashangaa Gary Nevile kacheza faulo mbaya lakini hakupewa red while Boyata kapewa straight red.Boyata na Kompany ndio wapumbavu.
Kama hujaona target usipige,utapoteza risasi bure!Hizi pasi zetu za kwenye box zina kera sana saa nyingine.kwanini hawapendi kujaribu mashuti ya mbali? nafasi nyingi tunapata lakini tunaendekeza pasi.
Kwani refa alikuwa yuleyule?Hawa marefa wapumbavu sana nashangaa Gary Nevile kacheza faulo mbaya lakini hakupewa red while Boyata kapewa straight red.
Hawa marefa wapumbavu sana nashangaa Gary Nevile kacheza faulo mbaya lakini hakupewa red while Boyata kapewa straight red.Kwani refa alikuwa yuleyule?
Hawa marefa wapumbavu sana nashangaa Gary Nevile kacheza faulo mbaya lakini hakupewa red while Boyata kapewa straight red.
Kama hujaona target usipige,utapoteza risasi bure!