Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pale hatuna kocha kaka

Hii timu alitakiwa apewe Eddie howe wa bornamouth , hata Wenger alipendekezaga apewe huyu, Gazid akatuletea huyu Unai,

Eddie na bornamouth yake haogopagi MTU, anashambulia tu,

Sasa angepewa hawa kina Laca pepe auba , tunge enjoy sana mpira mzuri,, anafundisha mpira wa Wenger kabisa , ndio maana Wenger alimpigia sana debe.


Ila unai nadhan Uongoz umeshajua hamna MTU hapo, ndio maana hawana mpango wakumpa tena mkataba, lengo wanataka atuvushe Tu kurud UCL bas ,

Kocha gan hawez kutengeneza chemistry ya Xhaka lt11 ceballos ,

Ozil kamshindwa , Leo hata kuwaunganisha auba laca pepe kashindwa


NDIO MAANA OZIL ALISEMA UNAI SIO KOCHA

Aroon plus arsenal mlalamikaji at work.

Tuliza wenge mpira unachezwa uwanjani na si mdomoni. Cheki sasa unavyoangaika kujitetea
 
Ukinipa majibu ya haya maswali kwa ufasaha utarudisha yako na kuwaona hao unawabeba hawabebeki.

Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua FA cup

Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua EPL

Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua Europa Cup

Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua UEFA

Nitajie timu ya mwisho kutoka London kuchukua Super Cup.

Au kama ukipenda majibu baki nayo atakusaidia kujibu Aroon na wadogo zake. Arsenal wanakingiwa kifua lakini hawawezi hata siku moja kuifikia The Pride Of London.

Sitaki kuulizwa maswali ya Kichochezi
 
Back
Top Bottom