Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ed mpuuzi na kocha nae anachangia anakubali kuuza wachezaj wakat hana mbadala tayar washajichanganya fikiria mtu kama herrera unawezaji kumuacha aende hapa nikifikiria naumia sana
Herrera and lukaku. Without replacing them, really?? That was a deadly mistake
 
Ameassist. Ana pace , ana dribbling,

Tumeibiwa kivip? Niswala LA muda tu aizoee EPL , ndio kwanza ana 24yrs old
Hili swala mnalichukulia kimasihara ila ngoja muda utimie.
IMG-20190827-WA0001.jpeg
 
Mashabiki wa man untd wana ubongo unaosahau Kama wa kuku...

Wameshasahau hata Gabriel Obertan aliitwa new Cr7, Wamesahau kabisa Januzaj waimuita new Cr7....

Yaani mtu akifunga vigoli viwili vitatu mnamuita Cr7 kwa sababu kwenye akili zenu hamtaki kukubali kumove on na timu yenu ni timu ya kawaida sana kwa sasa mnashabikia kwa mihemuko na sio facts.
Mkuu,mapanga ya nini sasa unataka kunikatakata uniue?

Nizungumzie mimi ndio nimesema, mashabiki wa man man u. Mimi ndio nimesema na isipokuwa njoo nihoji mimi.
 
Vipi kuhusu lineup ya leo?
Hivi Luiz hatujapigwa?
Hivi tulikuwa home au away?
 
Timu sio kabila mkuu unaweza kuhamia Arsenal tu kwanini uteseke na wakati vizuri vipo.

Mi nipo wolves na aston vila kwa muda kuhama manchester united ni ngumu sana hii timu naipenda mno nilifurahia nyakat nzur na hiz mbovu nitulie tu je tumewahi kujiuliza mashabik wa city wameteseka muda gani?

Liverpool nyie sioni muendelezo wenu angalia bench na timu inayoanza bench hamna kitu ni timu ya muda nani mbadala wa salah ,bob na mane? Kiungo je?

City wana timu ya muda mrefu
 
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.

Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.

Nawakumbuka Madogo Kama Rashford, Januzaj na Delle Alli walikuwa hatari sana walipoanza kuibuka! Lakini baadae tunajua nini kimetokea.

Sasa na Hawa kina Abraham na DJ tusubiri tuone...

Ni kazi Ngumu sana kwa Madogo kumaintai Consistency kwenye football
 
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.

Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.
Mm sina shaka na uwezo wa James ,na niliipongeza man u kuachana na kumwaga hela kwa magarasa , ila sion sababu ya kuanza mapema kumpambanisha na pepe,

Bado muda utafika tutajua tu, pepe mech ya pili hii ndio anaanza, hakuwa na arsenal preseason , anahitaji muda kuizoea EPL.

Ana pace

Ana dribling

Ana piga faulo atatusaidia
 
Mlikuwa mnalilia trio. Leo imeanzishwa kama mtakavyo.
Ni mwanzo mzuri ,japo bado sikuona sababu ya cebalos kuanza bench, na toreira kuchezeshwa namba 7 ,hajawahi kufanya vzr kwenye 4-3-3 ,

Makelele ya mashabik yamesaidia , hivo Leo trio imeleta impact ,

Auba & laca wamefunga

Pepe kaassist
 
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.

Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.
Hili ndio tatizo lenu kubwa nyie. Akili zenu ni za muda mfupi kama maisha ya funza. Mnakumbuka Lingard alishawahi kufananishwa na Rooney huku mki edit picha zake mkimuwekea na tuzo ya Ballon d'or siyo nyie? Yako wapi sasa hivi

Acha muda useme wenyewe.
 
Good battling from the team. Ningefurah zaidi kama tungeshinda ila pointi moja si haba haswa kwa kuwa timu tuliyocheza nayo si ya kitoto na tayari tulishapigwa mbili. Guendouzzi, what a talent. The kid has got massive potential.
 
The kid has got a massive talent.

Game kukataa sometimes inatokea, players are human being as well
 
Back
Top Bottom