Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika Ajabu Jipya kabisa la Dunia ni kumuona Mtu anamponda PEPE dah!

Huyu Jamaa ni bonge la mchezaji!

Its a matter of time kushow his worthy na kuwaprove wrong wengi tu.

Jamaa atatisha na baada ya misimu 2 tu Barcelona, Real na PSG wataanza kiherehere chao cha kumtaka
 
Matteo mkali ameichezesha timu mwanzo mwisho

Ila sion sababu ya kocha kumchezesha lt11 namba 7
Guendouzi ni miongoni mwa wachezaji ambao itabidi wewe managed with care.

Hatuhitaji kuendelea kuumizwa kwa kuona wachezaji wetu bora waking'ara na timu nyengine.

Serge Nabry

Ismail Bennacer

Rene-adelaide
 
Unajua broo wengi wetu tunaangalia mpira juu juu tu.

Kijana huyu akikaa nasi for 3 seasons tu basi tutakuwa na mchezaji bora kabisa

Hatar sana huyu mtu spurs wamehangaika mno katikati nimependa sana nguvu ya kiungo cha arsenal napenda timu yangu manchester united iwe kama kiungo cha arsenal leo nimefurahia sana mpira
 
Naona huko tweeter mnajifariji kumfananisha pepe na James
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.

Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.
 
Katika Ajabu Jipya kabisa la Dunia ni kumuona Mtu anamponda PEPE dah!

Huyu Jamaa ni bonge la mchezaji!

Its a matter of time kushow his worthy na kuwaprove wrong wengi tu.

Jamaa atatisha na baada ya misimu 2 tu Barcelona, Real na PSG wataanza kiherehere chao cha kumtaka
Kabisa kabisa
 
Hatar sana huyu mtu spurs wamehangaika mno katikati nimependa sana nguvu ya kiungo cha arsenal napenda timu yangu manchester united iwe kama kiungo cha arsenal leo nimefurahia sana mpira
Timu sio kabila mkuu unaweza kuhamia Arsenal tu kwanini uteseke na wakati vizuri vipo.
 
Matokeo ni fair kwa kuzingatia kwamba hii ni derby.

Ceballos ndie amekuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.

Hivyo Unai Emery anapaswa kuanza na Ceballos na Guendouzi pale katikati mbele ya Xhaka au Torreira.

Xhaka huleta hofu sana kwa rafu zake.

Mechi ijayo na Watford Arsenal ianze na Ceballos kama AM.

Otherwise Arsenal ipi nafasi ya tano ikifungana points na Crystal Palace, Everton na West Ham.

Na wengine wale watani na wenzao wako kuanzia nafasi ya 8 kwenda chini huko.
 
Hatar sana huyu mtu spurs wamehangaika mno katikati nimependa sana nguvu ya kiungo cha arsenal napenda timu yangu manchester united iwe kama kiungo cha arsenal leo nimefurahia sana mpira
Kaka mimi nadhani matatizo yenu ya msingi ni Ed na uongozi wake. Tayari washasababisha OGS kashafeli halafu lawama atatupiwa yeye.
 
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.

Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.

Mashabiki wa man untd wana ubongo unaosahau Kama wa kuku...

Wameshasahau hata Gabriel Obertan aliitwa new Cr7, Wamesahau kabisa Januzaj waimuita new Cr7....

Yaani mtu akifunga vigoli viwili vitatu mnamuita Cr7 kwa sababu kwenye akili zenu hamtaki kukubali kumove on na timu yenu ni timu ya kawaida sana kwa sasa mnashabikia kwa mihemuko na sio facts.
 
Kaka mimi nadhani matatizo yenu ya msingi ni Ed na uongozi wake. Tayari washasababisha OGS kashafeli halafu lawama atatupiwa yeye.

Ed mpuuzi na kocha nae anachangia anakubali kuuza wachezaj wakat hana mbadala tayar washajichanganya fikiria mtu kama herrera unawezaji kumuacha aende hapa nikifikiria naumia sana
 
Back
Top Bottom