Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe hujui kitu ndio maana unalipoka,hiyo mech aliyoanza lt11 ,bado kocha alimuanzisha nje lacazette ,Mkuu punguza jazba hao kina torreira walilambishwa vumbi Na Firmino mech ya 5-0.acha kumlalamikia kocha huyo lagazeti mwenyew kwa Van dijk angetulia tu kama mwenzake auba.jengen kikos halafu mje tena anfield sio kupiga domo wakat hauna timu iliyojengwa vizur
Sis tunachoongea tunakijua ,
Ndio maana uongoz umempa Emery miaka miwili tu .
