milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Iwobi anakiwasha Everton Leo Mungu tusaidie tupate 3 points leo
Daaah hii mechi ya Everton vs Wolves ni bonge la burudani.Iwobi anakiwasha Everton Leo Mungu tusaidie tupate 3 points leo
Huyu jamaa mjinga sana. Anampenda sana huyu dogo. Alafu mi nahisi hampendi ozil. Ceballos hata bench hayupo. Kwanini asingemuweka ozil happKwanini Mateo aanze,Unai kocha wa ajabu kweli unamuacha ceballos nje kweli
Ceballos yupo benchHuyu jamaa mjinga sana. Anampenda sana huyu dogo. Alafu mi nahisi hampendi ozil. Ceballos hata bench hayupo. Kwanini asingemuweka ozil happ