Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi ni watu kutoka humu walikua wanamponda Kepa? Sasa nyie hata pazia mlangoni nauona uzi tu. Kazi kulenga tu Imooo
 
Hapa hatuna timu hapa hatuna solid fast players wako slow halafu watu wanafikiri tatizo ni beki tu hapana kuna tatizo hata midfield hatuna mid yenye vurugu korofi nguvu kwaajiri ya kulinda beki.
 
Hapa hatuna timu hapa hatuna solid fast players wako slow halafu watu wanafikiri tatizo ni beki tu hapana kuna tatizo hata midfield hatuna mid yenye vurugu korofi nguvu kwaajiri ya kulinda beki.
Nakubaliana na wewe, Arsenal ina midfield soft sana.
 
Mamaeeeee unai akimuweka benchi lacazzete tena nampandia huko huko majuu tukamalizane
 
Hii ngoma lazma ilale upande wa arsenal.
Mkipata suluhu mshukuru MUNGU.
 
Kwa mpira anaocheza arsenal huu sioni kama timu yangu manchester united tunaweza kupata hata droo kiungo kipo safi sana

Usajili wa pepe ni mzur sana
 
Na mechi mnayochezaga vizur mkiwa na spurs tu mnaupigaga mwingi sana
 
Mechi ya pili hii spurs wanaokolewa na VAR bila hivyo wangeshatapeliwa
 
Kwa mpira anaocheza arsenal huu sioni kama timu yangu manchester united tunaweza kupata hata droo kiungo kipo safi sana

Usajili wa pepe ni mzur sana
Huyu pepe ni kama Gervinho tu...
Chenga nyingi bila effect yyte
 
Back
Top Bottom