OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Sio kosa lake mkuu, Unai na wachezaji wake washazoea ligi ya wakulima league one'Tatizo la aseno ni kocha,hawezi kupanga hata kikosi
Sio kosa lake mkuu, Unai na wachezaji wake washazoea ligi ya wakulima league one'Tatizo la aseno ni kocha,hawezi kupanga hata kikosi
Arsenal tulikosa umakini tu wa kuimaliza game mapema kwa kupoteza nafasi za wazi, binafsi angeanza Lacazette pale mbele lolote positive zaidi lingetokeaSio kosa lake mkuu, Unai na wachezaji wake washazoea ligi ya wakulima league one'
Hahaha leo Luiz ni garasaa tena..Mechi tight kama hii unapanga garasa Luiz.,sijui Willnock!!!ovyoooooooooooooooo
Mashabiki kazi sanaHahaha leo Luiz ni garasaa tena..
Mkuu nakuona umeweka kambiHahaha leo Luiz ni garasaa tena..
Uyu Salah anamkimbiza beki wetu Luiz sio vizuri kabisa aise.. Salah anapaswa afungiwe mechi kadhaaTumefungwa na timu bora,sio mbaya ila bado naamini tupo vizuri.


Unafaa kuwa mtabiri mkuu ..uko vizuri sana ..naona ulijipiga ramli mwenyewe ..Leo ushind muhimu
Naitakia ushind mnono Arsenal
My prediction
Liverpool 1 Arsenal 3


umeotea kinyama..Eheee upo 😂😂😂😂😂😂😂,tatizo lako ww ushabiki wa mpira huwezi,kwa hiyo matokeo ya Arsenal ndio yamekufanya uonekane.Sisi wenzako tufungwe tushinde hatukauki kwenye thread ya timu yetu.Uyu Salah anamkimbiza beki wetu Luiz sio vizuri kabisa aise.. Salah anapaswa afungiwe mechi kadhaa![]()
Kwa uyo mulitaka mutoke na ZERO kabisaMimi sitaki hata hili moja wapate




Leo mnapigwa kiduku au para la wembe? Chagueni wenyewe





hili ni para la wembe mkuuHahahahahahahahahahaha Luiz tumepigwa mkuuLiverpool pay £75 ml for Van Djik, Arsenal pay £8ml for David Luiz ........Utofauti ulianzia hapa kabla hata ya mechi kuanza.




Sawa lakini tumepigwa.Luiz bado ni beki bora ataisaidia timu
Sasa mkuu huoni tumefungwa leo lakini bado nipoEheee upo,tatizo lako ww ushabiki wa mpira huwezi,kwa hiyo matokeo ya Arsenal ndio yamekufanya uonekane.Sisi wenzako tufungwe tushinde hatukauki kwenye thread ya timu yetu.




sisi arsenal hata tufungweje bado nipo ..mimi sio kama AROON au dully Jr ..apa no arsenal damu damu..



Kipigo kilikua hakizuiliki hata angeingia naniUjue kwa kocha anaejielewa, partinership ya Xhaka na torreia ndo ilipaswa kufanyiwa kazi kama 1st eleven, then Matheo anakuja kama backup 2nd period hukoooo timu ikiwa imesha relax! Hivi unamuacha Torreira nje mbele ya Matheo,kweli? Sasa et huyu kocha inakuwa kinyume chake, Matheo eti anaingia moja kwa moja 1st eleven tena mbele ya Liverpool?ngoja nicheke kwa uchungu tu


rafiki yangu aaarooonBila shaka mtachukua nyie.Pamoja na kwamba tumefungwa Liverpool hachukui ubingwa wa England
Pamoja na kwamba tumefungwa Liverpool hachukui ubingwa wa England
pole, ni hasira tu. Vipi nyie mnachukua?