Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Anamtaja Ox na keita wakati hao wachezaji hawawez kucheza mech 5 mfululizo,

Nilimueleza Liverpool ni timu bora hilo halina ubishi, ila hajui ni jinsi gan Liverpool inavyozalisha magoli , Kazi anayoifanya firminho ni zaid ya viungo wake, kazi zinazofanywa na fullbacks ni zaid ya viungo ,

Wapoloo wapoloooo

Hii ndio timu ya kuitukana Chelsea??
 
Huyu kocha ni msenge baridi sana,hawezi kutuwekea vimburula sijui Willnock mechi ngumu kama hii,ni matako sana kipigo kakitaka yeye,yaani unaacha watu wa kazi unatupangia vipuuzi hivi sijui Willnock!!!hata huyo Kipepe mwenyewe na Luiz wote walitakiwa waanzie bench,Shame on Him
 
Huwa tunajua Anfield hamfurukuti ila dah... sikutegemea kama mngekuwa nyoro kiasi hiko... kweli Willock atoke dkk 80 huko ndo aingie Lacazette! Dani kapotea na huyo Willock hamna jambo, Xhaka naye doh!
 
Yaani leo imekuwa siku mbaya kwetu,timu Leo zilizocheza ugenini zimeshinda kasoro sisi
 
Calm down, It is LIVERPOOL.
0_GettyImages-1168617826.jpg
 
Tumefungwa sababu ya kocha

Unai amepewa mzigo mzito, huwez kuacha watu wakazi nje ,unaanzisha u21 ,

Huyu kocha hafai kufundisha arsenal , na wakichelewa kumfukuza , atatufikisha pabaya

Laca mech ya mwisho kafunga , Leo unamuingiza dk 10 za mwisho,

Nje una LT11 , unaanzisha Mateo na willock ili iweje ?

Amesababisha beki izidiwe wakati wamecheza vzr tu,

UNAI hatufai
 
Nilivyosema kuhusu kuheshimu timu pinzani ndiyo kama leo...

Guendouz kila siku nasema ni mbovu. Xhaka haonekani kabisa.

Liva kipa kinega ila hata hizo chances hatutengenezi.
Mkuu game kama hizi you dont take your chances basi unaumia. Kama lawama na atupiwe kwanza kocha kwa kutopanga front three ya maana. Why willock???
 
Back
Top Bottom