Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unai hatufai kabisa

Timu ipo vzr anaanzisha watoto

Kwan Pep na klopp wanapoanzisha DREAM TEAM ni wajinga?
Tuwe wazalendo kwenye football Liverpool hajafungwa EPL Anfield toka 2017 arsenal hata wangekuwa na Messi ,Hazard, Lewando kupata point 3 haiwezekani ,team itakayovunja hii record ni City tena kwa tabu sana na kupitia mateso makubwa
 
Kwa hiyo Aroon machozi yamekulenga lenga?
Ujue kwa kocha anaejielewa, partinership ya Xhaka na torreia ndo ilipaswa kufanyiwa kazi kama 1st eleven, then Matheo anakuja kama backup 2nd period hukoooo timu ikiwa imesha relax! Hivi unamuacha Torreira nje mbele ya Matheo,kweli? Sasa et huyu kocha inakuwa kinyume chake, Matheo eti anaingia moja kwa moja 1st eleven tena mbele ya Liverpool? ngoja nicheke kwa uchungu tu
 
Tuwe wazalendo kwenye football Liverpool hajafungwa EPL Anfield toka 2017 arsenal hata wangekuwa na Messi ,Hazard, Lewando kupata point 3 haiwezekani ,team itakayovunja hii record ni City tena kwa tabu sana na kupitia mateso makubwa
hapa ndio umeongea nini mkuu?
 
Sasa mkuu huoni tumefungwa leo lakini bado nipo sisi arsenal hata tufungweje bado nipo ..mimi sio kama AROON au dully Jr ..apa no arsenal damu damu..
aiseeehhh kweli ARSENAL ni timu kubwa sana pale london maana sio kwa mapovu haya dah hebu mujitahidi basi kukusanya mataji huenda mukaisogelea
 
kwa kusema haki uoga wa kocha ndio uliotucost ,kocha amejihami sanaaaaaaaaaaaaaaaaa tena kwa kupitia watoto.......gue na willock ile game ilikuwa haiwahusu kabisa...naamini laca,mikhi/ozil na torrera wangeanza ile game tusingefungwa kizembe,na kilichozidi kukera jamaa anaona kabisa ceballos,na willock wameonekana game kuwazidi lakini ameshindwa kufanya mabadiliko mapema....yote ya yote timu ilicheza vizuri hasa dakika za mwishoni lakini pia tumepoteza ugenini tena kwa timu bora kabisa so naamini muda bado upo tutakaa vyema maana timu bado inajitengeneza
 
#Dully Jr. Pole! Wale ndio majogoo hasumbuliwi na matetea au makoo.
Pale Ni machinjioni. Kamuulize Leon Messi.
Jumapili Njema Kaka!
hhahahahahahaha ahsante mkuu,hongera kwa ushindi ila naamini bado nina timu nzuri ila kocha muoga sana atatucost kama hatabadilika
 
what next?
Arsenal resume league action when they host Tottenham in the first north London derby of the season, on Sunday, 1 September (16:30 BST).
 
kwa kusema haki uoga wa kocha ndio uliotucost ,kocha amejihami sanaaaaaaaaaaaaaaaaa tena kwa kupitia watoto.......gue na willock ile game ilikuwa haiwahusu kabisa...naamini laca,mikhi/ozil na torrera wangeanza ile game tusingefungwa kizembe,na kilichozidi kukera jamaa anaona kabisa ceballos,na willock wameonekana game kuwazidi lakini ameshindwa kufanya mabadiliko mapema....yote ya yote timu ilicheza vizuri hasa dakika za mwishoni lakini pia tumepoteza ugenini tena kwa timu bora kabisa so naamini muda bado upo tutakaa vyema maana timu bado inajitengeneza
nimependa tu hapo uliposema mmepoteza ugenini tena kwa timu bora!
 
Kwa hiyo Aroon machozi yamekulenga lenga?
Xchaka hakuwa fut hivyo gundoz na torreira walistahili
Kosa kubwa'ni kumuacha bench lacazette.
Pia partnership ya auba lacazette na pepe kocha aliipoteza
Poor substitutions za kocha alizofanya on late time
Mfumo wa 4312 yeye akatumia 433
Zaidi luiz alikuwa shida kwani magoli yote mawili yeye ndiyo source kona inapigwa haruki pia la pili badala ya kumkwatua kabla hahaingia penalty box anasubiri aingie halafu amvute shati foolish decision.

All in all aubameyang naye kakosa nafasi za wazi.
Nikiri wazi kuwa kikosi cha sasa cha arsenal ni bora kuliko cha msimu uliopita na makosa haya yanarekebishika kiurahisi.
Ktk mpira hata anayecheka leo kesho hulia na anayelia sasa akacheka kesho.
Naipenda timu yangu na nitazidi kuishabikia daima.

We are the gunners forever.
 
Arsenal Hana kawaida ya kusumbuliwa na Spurs
Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati
 
Tumefungwa sababu ya kocha

Unai amepewa mzigo mzito, huwez kuacha watu wakazi nje ,unaanzisha u21 ,

Huyu kocha hafai kufundisha arsenal , na wakichelewa kumfukuza , atatufikisha pabaya

Laca mech ya mwisho kafunga , Leo unamuingiza dk 10 za mwisho,

Nje una LT11 , unaanzisha Mateo na willock ili iweje ?

Amesababisha beki izidiwe wakati wamecheza vzr tu,

UNAI hatufai
Kikweli imenishangaza kumwacha Laca na kumuingiza yule dogo

Ila naona hata midfield pia mlipwaya,

Poleni, lakini mimi nimefurahi maana huku mtaani ni nyie na sisi ndio tupo wengi kwahiyo mngeshinda hii weekend maisha yangekuwa mgumu sana kwetu
 
Back
Top Bottom