Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu kocha ni msenge baridi sana,hawezi kutuwekea vimburula sijui Willnock mechi ngumu kama hii,ni matako sana kipigo kakitaka yeye,yaani unaacha watu wa kazi unatupangia vipuuzi hivi sijui Willnock!!!hata huyo Kipepe mwenyewe na Luiz wote walitakiwa waanzie bench,Shame on Him
Bora hata Luiz hao wengine watatucost sana msimu huu,kwa kweli Huyu kocha hatufai kabisa
 
Unai hatufai kabisa

Timu ipo vzr anaanzisha watoto

Kwan Pep na klopp wanapoanzisha DREAM TEAM ni wajinga?
Ni kweli hii game tungeanzisha kikosi kama alivyokuwa anapanga mwaka jana hawa jamaa wasingeshinda
Sio wazuri kiivyo na hii game itafanya timu isijiamin tena
 
Unai mwoga sana kufungwa afu pia anazidi kujionesha yeye ni kocha wa timu ndogo
 
Tunahitaji kocha kama yule wa Ajax au Diego Semeon au Conte

Ni makocha wanaojiamini
 
Tumefungwa sababu ya kocha

Unai amepewa mzigo mzito, huwez kuacha watu wakazi nje ,unaanzisha u21 ,

Huyu kocha hafai kufundisha arsenal , na wakichelewa kumfukuza , atatufikisha pabaya

Laca mech ya mwisho kafunga , Leo unamuingiza dk 10 za mwisho,

Nje una LT11 , unaanzisha Mateo na willock ili iweje ?

Amesababisha beki izidiwe wakati wamecheza vzr tu,

UNAI hatufai
Na bado hizi ni rasharasha tu subiri kiama kinakuja
 
Back
Top Bottom