Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
Sijajua kwanini Lacarzet anawekwa bench na vilaza Kama Peoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyu Luiz tumepigwaaaTehetehetehetehe luiz tena kachoma nyumbaaaaa Safi sana
Luiz kamshindwa kabisa Salah sijui kwa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyu Luiz tumepigwaaa
Hahaha Sisi arsenal tuliambiwa tumesajili kwa kiwango cha kuvunja historia ya clab yetu ..vipi tena yamekuwa magarassa[emoji23][emoji23][emoji23]Magarasha tupu hayo
Dah sijui ni kwa nini mkuu wakati ni moja ya usajili bora tuliofanya..Luiz kamshindwa kabisa Salah sijui kwa nini
Chelsea walikua sahihi kumuuza waliona hana jipyaLuiz kamshindwa kabisa Salah sijui kwa nini
Unacheza na liva kati unamuweka Willock eti Lacazette yupo nje.Game iliisha mwanzoni kabisa,tumeshindwa kuleta upinzani kabisa,liver anashinda kirahisi kabisa
Sisi Arsenal tuna majembe ya ukweli ..tuna Luiz, tuna Pepe, tuna Matteo, tuna Cabellos, Tuna Torroera na mengine ya kutisha ..uyu Liver mtoto mdg sana akina Emirates lazima afe[emoji23][emoji23][emoji23]