Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jogoo kufa si ajabu.. ila itategemeana na ukuta wa Arsenal utacheza kwa kiwango gani siku hiyo.
Liver wako vzr sana mbele, MANE, SALAH, FIRM ni moto sana, ukizingatia beki ya Gurnerz sio ya kuwazuia hawa watu kirahisi, itahitajika nguvu kubwa ya viungo kuipa sapot defence hasa Liverpool inapoanzisha mashambulizi ya haraka nakwa speed.
Wale wazee pale nyuma wana kazi ya ziada... Kwa Arsenal wajitahid wasipoteze nafasi sana.
Kwenye chance 3 wascore 2 au 1 kuliko kukosa kabisa... wakifanya hv uhakika wa point 1 hadi 3 upo.
Narudia tena wale wazee watachomesha sana..
 
Kikweli imenishangaza kumwacha Laca na kumuingiza yule dogo
Ila naona hata midfield pia mlipwaya,
Poleni, lakini mimi nimefurahi maana huku mtaani ni nyie na sisi ndio tupo wengi kwahiyo mngeshinda hii weekend maisha yangekuwa mgumu sana kwetu
Unai anapanga kikosi cha Sportpesa wakati anacheza EPL tena big match.
Nje anaacha watu wazima wenye uwezo, anaweka watoto ambao hata Cardif hawachezi... jana kocha kavuruga mwenyewe japo Liverpool sio wepesi kiivyo.
 
Xchaka hakuwa fut hivyo gundoz na torreira walistahili
Kosa kubwa'ni kumuacha bench lacazette.
Pia partnership ya auba lacazette na pepe kocha aliipoteza
Poor substitutions za kocha alizofanya on late time
Mfumo wa 4312 yeye akatumia 433
Zaidi luiz alikuwa shida kwani magoli yote mawili yeye ndiyo source kona inapigwa haruki pia la pili badala ya kumkwatua kabla hahaingia penalty box anasubiri aingie halafu amvute shati foolish decision.


All in all aubameyang naye kakosa nafasi za wazi.
Nikiri wazi kuwa kikosi cha sasa cha arsenal ni bora kuliko cha msimu uliopita na makosa haya yanarekebishika kiurahisi.
Ktk mpira hata anayecheka leo kesho hulia na anayelia sasa akacheka kesho.
Naipenda timu yangu na nitazidi kuishabikia daima.



We are the gunners forever.
There was no way mngeshinda Anfield

Morale ya Liverpool chini ya Klopp hasa anapocheza na Arsenal sio mchezo. Mkibahatika kumfunga Liverpool hata hapo Emirates sherekeeni sana
 
Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati

Na Arsenal pia amesajili wachezaji wazuri tu, ila shida munaangalia performance ya Jana wakati ile ni Big match.


Narudia tena Spurs hatomfunga Arsenal next game
 
Mmh, Ndombele, sissoko, Eriksen? Msimu huu huyu akilikosa kombe basi anakaa nafasi ya pili.

Tunza hii.

Spurs hana ubavu wa kuchukua Kombe wala kukamata nafasi ya Pili hasa pale linapokuja ili abebe Kombe ni lazima amalize juu ya Liverpool na Man City jambo lisilowezekana.
 
IMG_6213.JPG
 
Pambaf sana Unai.

Unawaacha watu was maana nje unaweka wapita njia wanashangaa tu uwanjani.

Zee lile akili zake ndogo sana. Wilok na guendouz sio wachezaji wa kuingia jana.

Nilimuonea huruma sana Leno na pepe kwa maana peke yao ndio walicheza mpira.
 
Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati
Mkuu kama hujui kitu ni bora unyamaze tu, msimu uliopita tulichukua point 4 dhidi ya Spurs. Mechi ya kwanza tuliwafunga 4 - 2 mechi ya pili tukatoka sare ya 1 - 1. Fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika usichokijua.
 
Mkuu kama hujui kitu ni bora unyamaze tu, msimu uliopita tulichukua point 4 dhidi ya Spurs. Mechi ya kwanza tuliwafunga 4 - 2 mechi ya pili tukatoka sare ya 1 - 1. Fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika usichokijua.

Yani bora ulipokuja kumjibu mana mimi niliona ninyamaze tu.

Niliposema Spurs hamsumbui Arsenal, Nilisema kwa uhakika wa kujua ninachokiongea! Then yeye anakurupuka tu.
 
Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati
Msimu uliopita:
Arsenal 4-2 spurs. (home )

Spurs 1-1 Arsenal. (Away )

Jifunze kufatilia mpira acha kusikiliza kwenye radio.
 
Ni suala la muda tu akina Sanllehi na Edu watafanya yao kwa Unai
Midfield inakuwa outplayed halafu mtu anakuambia hajaona tatizo la hao wachezaji waliopangwa kwenye midfield siku hiyo
Mane kacheza mpaka final ya Afcon na anaanza fresh tu ila huku kwetu Torreira hana match fitness hana sijui nini
Kocha mpaka leo msimu wake wa pili huu hana first eleven team
Ni Suala la muda tu Raul Sanllehi na Edu Gaspar wakiongozwa na mtoto wa Kibopa Josh Kroenke watafanya yao kwa Emery
 
Mm nlitaka jana wangeanza wote na laca,na auba ile liver inafungika kwan wanaanzia kukaba mstari wa juu kwa kasi ya foward ya arsenal tungepata kitu. Sema tuliwaruhusu wakacheza katikat sana tukawalaimisha kina Auba kushuka sana nao wakawa wameingia mtego wa kukabwa kwa nguvu.
Tunacheza taratib sana tokea nyuma tukilinganisha na wwachezaj wenye kasi tulionao. Tunaishia kujitahidi tu na sio kuonyesha uhalisia.
Jana tumefungwa kwa poor tactics na uoga wa kocha kujilinda wakat unajua kujilinda huko unatakiw upaki basi kwl tukirefer kwa Mou.
Mpk sasa nmeona kwa macho yangu tuna point6 za man city na point6 za Liver. Kocha hawez kuw na mbinu dhid ya hawa watu wawili yaan Klop na Pep.


Jana tumefungwa na Emery kwnn Laca nje, Toreira nje then unaweka watot kujaribu??? Unajaribiaje kwa bingwa wa Ulaya? Au alihisi ni pre season? Unajaribuje kwa wachezaj waliokaa mda mref na wanaelewana kila kitu???

Nataman niattack mchezaj m1 m1 kwa perfomance ya jana lkn acha niwaache kwanza nitupe lawama kwa kocha.

David Luiz simlau naomba nimwongelee huyu tu kwa niaba ya Mustafi, kazi anayofanya ameifanya pia Chelsea. Ni mchezaj ambay utamfaid sana mkicheza nyie. Ni true kamanda pale nyuma ila anaingia kwny mtego kama mustaf anakaba kuklia makosa ya viungo kutokana na tactics mbov za mwlm.


Mwisho:iko wapi philosophy yetu tuliyotamba nayo muda mrefu kucheza soka safi?
Wapi Wenger ball???
Unai anataka kutwambia nn??
 
Back
Top Bottom