milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Unai ni Ms****** willock na Matteo aiseeee hatutoki na Laca unamweka nje????hatarious





Kabisa aisee. Willock?? Against Torreira?? Haya yeye ndio kocha bhanaUnai ana matatizo katika upangaji wa kikosi, midfield naona ipo weak sana, kumuweka Lacca bao sio uamuzi sahihi IMO.
Mkuu hifadhi hii kali. Tutakumbushana..Muda wenu Arsenal wa kuja machinjioni Anfield unafika kwa kasi sana.
Sisi tumeshaandaa speech ya ushindi, na hatuna muda wa kuibadilisha.
Tumeshalizwa???? kwani Pepe na Luis hawapo???Liverpool goooooal huko
Huyu kocha hajui kupanga kikosi,Leo tunafungwa
Teh ....Muda wenu Arsenal wa kuja machinjioni Anfield unafika kwa kasi sana.
Sisi tumeshaandaa speech ya ushindi, na hatuna muda wa kuibadilisha.